Wewe umepata singo maza, ukianza hivo eti hujali ya nyuma jua tu unajifaliji......ila vijana watanzania mnawekeza sanaa mda kwenye mapenzi sijui pesa mna zitafuta mda gani?HAbar za wakati.
Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusa ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko
Baada ya kumueleza hisia zangu kwake akawa mgumu lakn baadae kama miez kazaa amenikubali na mama yake mzazi piah amenilidhia kuwa karibu na Binti yake
Hivyo tupo saw kwasas na piah mda sio mrefu nampeleka posa Kisha ndoa ifuate mungu asaidie
;NIMEAMUA KUANZA UPYA BILA KUJALI NYUMA KILITOKEA NIN
je? Huenda nimefanya jambo lisilo sahihi
Aliwahi kukusaliti?Sio single mother ni Binti wa miaka23
Wewe una umri gani, kwani wa 23 hawezi kua singo maza?Sio single mother ni Binti wa miaka23
Kijana wa miaka 27, kipato chako ni shilling ngapi kwa wastani kwa mwezi? Mkuu.Mim 27 ila yey sio single mother namjua vzur na tupo kweny mahusiano ya urafik za mwaka na nusu sas
dronedrake Liverpool VPNHAbar za wakati.