Nimeamua kuanza upya bila kujali watasema nini

Naona vijana hamsomi kitabu cha wanaume
 

Jilipue, ila ndoa? Dah, I wish I knew
 
Huyo mchumba wa mkoani umepata muda wa kumchunguza kumjua hata kidogo, au umehemka kwa kusukumwa na nguvu za kichwa kidogo?
 
Hakuwah ila aliwahi kuwa na mahusiano yake ambayo jamaa alikuwa mkoani uko na dini walikuwa tofaut na ILO ndiyo lilikuwa tatizo kubwa la kutoelewana kwao
Ahaaa.
Umeamua kumuunga mkono mtume Paulo alisema kuwa;
(Wafilipi 3:8
Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nipate Kristo😉🤣🤣
Demi
Joanah
 
Tuko pamoja sana mungu ni mwema Kwa Kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…