Nimeamua kuanza upya bila kujali watasema nini

Hajawahi kuwa na mtoto mkuu ila tu alishawahi kuwa na mchumba sas jamaa yupo mkoa mwingne tofauti na anapoishi uyu Binti na tofaut ya kidini ilipelekea jamaa kuangalia mambo yake na kuliacha Jimbo likiwa halina mmiliki
Huyo demu kama kaweza kumpiga jamaa chini kisa yuko mkoani ata wewe iko siku na wewe itatokea na kwako.
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒAina hii ya vijana hujiua mwishoni mwa picha la kifilipino!!!

Mwenye mali akija kujipooza hapo kwa huyo mwanamke utaanza kumaindi na kutaka kupigana.Hivi nyie viazi mbatata hata kwa macho huoni umechukua mke wa mtu unataka kumfanya wako.Unahisi huyo mwanamke hajielewi au anakupenda sana wewe boya mmoja.

πŸ“ŒKATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Huyo demu kama kaweza kumpiga jamaa chini kisa yuko mkoani ata wewe iko siku na wewe itatokea na kwako.
Daaah ni mtihani kiukwel yote yanaweza kutokea kikubwa kumuomba mm sikudhamilia amuache jamaaa ila alinipa kisa kizima mpaka wazazi
Wa jamaa wahataki ndoa labda Binti abadili dini
 
Duuh
 
Kwa uzoefu, msichana akikataa mwanzo kwasababu ana mahusiano yake, uaimlazimishe.

Ukiforce Kuna siku atakubali, lakini ipo siku utajuta.
 
Hiyo pesa ya posa kawaanzishie wazazi wako bili ya MAZIWA NA SANGARA WA MWANZA wakishakubariki njoo uandike Tena namana naona hauna BARAKA za wazazi unakuwa kama mwendawazimu kesho unataka kujinyonga achana na kujichimbia kaburi PUMBAVU
 
Kwa uzoefu, msichana akikataa mwanzo kwasababu ana mahusiano yake, uaimlazimishe.

Ukiforce Kuna siku atakubali, lakini ipo siku utajuta.
Kwasas hatma yang nmemkabidhi mungu liwalo na liwe
 
Hiyo pesa ya posa kawaanzishie wazazi wako bili ya MAZIWA NA SANGARA WA MWANZA wakishakubariki njoo uandike Tena namana naona hauna BARAKA za wazazi unakuwa kama mwendawazimu kesho unataka kujinyonga achana na kujichimbia kaburi PUMBAVU
Upo sahihi kesho hatuifahamu ngoja yanishinde ntakuja na mrejesho piah
 
Bro ushakaa kuwaza ni muda gani Hawa aliongea na nyoka mpaka akashawishika na kumpoteza mme wake..!? Afu wewe wa miezi sita tena mdada wa Gen-Z na ukute ni penzi la WhatsApp..πŸ˜‚πŸ’” Mungu akupe nguvu kijana.πŸ˜‚πŸ’”βœοΈ
Hakika brow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…