Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu hii ni nchi ya kitropiki, korosho inastawi kila mkoa wa Tanzania.Nimeona mikorosho kadhaa itigi na maeneo ya kongwa
Tunapenda sana badala ya kutumia maarifa tuliopewa shuleni. Tumekazana kuiponda elimu yetu badala ya kuitumia.
Kitu kikubwa ni jinsi gani utapambana na ukame.
Sisi waafrka tunataka kuwa kama mbuzi, vipi Jangwani wapande mazao sisi tushindwe ? Kuna documentari ipo you tube inaonesha Saudi Arabia walivyoamua kuotesha mpunga Jangwani kwa kushirikiana na wachina. Ipo siku warabu watajitosheleza chakula kwa kulima Jangwani, sisi tunashangaa tu.