qualalumpagrinder
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 464
- 806
hongera sana mkuuMREJESHO
Miche idadi 600 nimepanda kwa wastani Kila heka Miche 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera sana mkuuMREJESHO
Miche idadi 600 nimepanda kwa wastani Kila heka Miche 30
Nasikia msnyoni na itigi korosho zinakubali sana na Bei ni nzuriHabar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.
Zipo heka 40
View attachment 3149500
Tena mashamba Bei cheeeee kabisa, wanunuzi mnagombaniwaWewe unanunua tu shamba unanunua minazi unaipanda
Umeibananisha sanahongera sana mkuu
sikushauri ndugu.Habar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.
Zipo heka 40
View attachment 3149500
Utajiri ni matokeo tu boss, yaani ni ziada.Watu wanaosisitiza kazi utadhani wao wametajirika na hizo kazi.
Usipoteze nguvu zako mzee...!Habar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.
Zipo heka 40
View attachment 3149500
Upo sahihi kiongoziUsipoteze nguvu zako mzee...!
Resources are scarce, tunza hela yako nayo ikutunze mbeleni.
Hebu pitia hapa chini(from google) kwanza kisha ufanye informed decision:
The ideal weather for cashew nuts is warm temperatures, well-drained soil, and a distinct dry season:
- Temperature
Cashew trees grow best in warm temperatures between 70°F and 90°F (21°C to 32°C). They can tolerate temperatures above 40°C, but should not drop below 10°C.
- Soil
Cashew trees grow best in well-drained, moderately acidic to neutral soil with a pH of 5.5 to 7.0. They can grow in low fertility soils if they receive enough nutrients.
- Rainfall
Cashew trees need between 500mm to 1200mm of rainfall per year. A good distribution of rainfall over time is important for a good yield.
- Dry season
A distinct dry season is important for fruit development. Dry weather allows the trees to focus on nut production instead of foliage growth.
Cashew trees grow well in tropical and subtropical regions. They are part of the Anacardiaceae family, which also includes mango and pistachio trees.
Kwa huo ukame utatoboa kweli?Habar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.
Zipo heka 40
View attachment 3149500
Kwa huo ukame utatoboa kweliHabar ya leo,
Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali.
Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni maneno hayo na Mimi mwenyewe sijawahi kufanya lakini natumaini had naacha ajira nitakuwa nimejifinza mengi.
Zipo heka 40
View attachment 3149500
Kweli waelezeMkuu hii ni nchi ya kitropiki, korosho inastawi kila mkoa wa Tanzania.
Tunapenda sana badala ya kutumia maarifa tuliopewa shuleni. Tumekazana kuiponda elimu yetu badala ya kuitumia.
Kitu kikubwa ni jinsi gani utapambana na ukame.
Sisi waafrka tunataka kuwa kama mbuzi, vipi Jangwani wapande mazao sisi tushindwe ? Kuna documentari ipo you tube inaonesha Saudi Arabia walivyoamua kuotesha mpunga Jangwani kwa kushirikiana na wachina. Ipo siku warabu watajitosheleza chakula kwa kulima Jangwani, sisi tunashangaa tu.
Hongera boss. Nimeona watu waliponda mara ukame n.k. Nadhani hawajui kitu na hawajatafiti.