Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu na mimi nimenunua ekari za kutosha Kijiji cha Kashangu Itigi lakini ni karibu zaidi na Manyoni mjiniNiko na hekari 150 na nimefanikiwa kufyeka kama 50 hivi !! Inshallah kiangazi hiki namimi nioteshe mbegu za mikorosho masika inayokuja naimani namimi ntatia mikorosho shambani kwangu🙏🙏😊 Niko jiranii saana na Itigi
Naona mazingira yanafanana sana
Nimeingiza vibarua wanafyeka pori ili mwezi wa nane tutie kibiriti
Mvua za mwakani napanda na mimi ekari 50
Kwa anayetaka mashamba maeneo haya ainicheck inbox
Kuna ekari zaidi ya 200 zipo sokoni bei safi kabisa