Mkuu na mimi nimenunua ekari za kutosha Kijiji cha Kashangu Itigi lakini ni karibu zaidi na Manyoni mjiniNiko na hekari 150 na nimefanikiwa kufyeka kama 50 hivi !! Inshallah kiangazi hiki namimi nioteshe mbegu za mikorosho masika inayokuja naimani namimi ntatia mikorosho shambani kwangu๐๐๐ Niko jiranii saana na Itigi
Mkuu na mimi nimenunua ekari za kutosha Kijiji cha Kashangu Itigi lakini ni karibu zaidi na Manyoni mjini
Naona mazingira yanafanana sana
Nimeingiza vibarua wanafyeka pori ili mwezi wa nane tutie kibiriti
Mvua za mwakani napanda na mimi ekari 50
Kwa anayetaka mashamba maeneo haya ainicheck inbox
Kuna ekari zaidi ya 200 zipo sokoni bei safi kabisa
Kuna bwana mdogo yupo Manyoni - Sukamahela kauza kwenye mnada uluopita wa Korosho roba 160. Pamoja na kuwa zingine alinunua lakn anazo heka 45 za Korosho.Aisee tupambane saana mkuu, Wacha tuzidi jaribu fursa hii ya korosho inshallah inaweza tutoa kwenye dimbwi la umasikini