Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Joannah heshima kwako. Nimemvumilia sana adriz. Lakini alivuka mpaka na kujiita Magayor Mongolian na kuweka picha avatar yangu. Sasa nimeamua kumjibu. No mercy
Ngoja mkuu nikupige tu ban, maana yaelekea unashindwa kumuheshimu Ayatollah.

Soon utakuwa ndani ya dustbin ๐Ÿ˜Ž
 
Umasikini unakusumbua

UNa stress kichwani

Wakati unaniwaza mimi nipo juu ya mama akon wa senegall

Wakati unanitungia uzi mimi ndio namwaga maji maji

I Reeally enjo , log out uje na ID TOFAUTI LETS GOOOO๐Ÿ”ฅ
adriz de mbusii tunatukanwa huku njoo faster ujibu.
 
Watanzania sio wateule wa Mungu? Kwahiyo wazazi wako na jamaa zako ni mizoga tu ila Waisraeli ndio wateule wa Mungu.
 
Nimetumia neno NAHISI
Kama itakuwa ni tofauti na nilivyohisi atakuja kusema mwenyewe

Why aje kutoa tangazo la kubadili dini kwa ID nyingine yenye avatar yake? Obvious ni namna ya kuchangamsha/kutafuta attention jukwaani
Huyu kweli siyo Adriz. Ngoja nimlime ban hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ