Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Sina uhakika kama ulikuwa kobazi, ila kama umeamua kuwavurumishia kobazi mawe is up to you. By the way Jesus is the Lord of lords, jina lake ni kubwa, yupo ambaye yuko, alikuwepo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu
 
Kwahiyo wewe Adryz na adriz de mbusii au magayor Mongolian yupi ni mtu mmoja?
 
Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake.
Yesu sio Mungu, Mungu ni Mungu na Yesu ni mtume wa Mungu tunamuita mwana wa Mungu, kila binadamu ni mteule wa Mungu sio wayahudi pekee hata kwenye familia wapo wanaoamini wamebarikiwa kuliko wengine ndivyo ilivyo kwa Wayahudi huamini (ni wao) kwamba ni wateule
 
Sina uhakika kama ulikuwa kobazi, ila kama umeamua kuwavurumishia kobazi mawe is up to you. By the way Jesus is the Lord of lords, jina lake ni kubwa, yupo ambaye yuko, alikuwepo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu
Ni #CODE hyo mzee ielewe sio kuhama dini bali ni Id mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…