Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Mzee wa fake ID's ,huo ni utapeli , yaani unajidanganya.
 
Hivi kuwa na ID moja huwa haiwezekani? JF wanaweza sema tuna member wengi kumbe hamna kitu
 
Ongera zako Kwa kuanza kuabudu Mungu aliyekuwa anacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya alafu anaenda mto Yordani kufua kanzu yake na viatu vyake
 
Kuna haja huyo Seran kubadili I'd ikiwezekana awe anapita kimya kimya, ni kama kunguni wa JF wameamua kumsagia kinoma. Huu mwezi wake

Halafu wagonjwa wa dini, jau sana. Yani bado sioni sababu ya huu uzi kusababisha wahuni kuchezea ban kiasi hicho, mbaya zaidi wengi kati ya hao hawana baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…