Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,760
- 6,921
Mimi kwa sasa naishi mkoani.
Kuna nyumba ya ghorofa nilikuwa naijenga jijini Dars'lama!
Nikapiga mahesabu nikiimalizia na kuipangisha ntaambulia milioni moja.
Nikawaza nikiweka cages nikaweka kuku wa mayai naweza kupata faida ya hadi Tsh milioni tano kwa mwezi!
Sasa nimeona niiezeke kawaida, niweke cages, then nianze ufugaji wa kuku wa mayai.
Wana JF, naomba mnishauri kama kuna mahali nakosea kuhusu huu uekezaji ninaoupanga.
Shukrani.