Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,760
- 6,921
- Thread starter
- #21
Mkuu, kuna kipindi niliishi chumba kimoja, kula misosi ya bei rahisi ili tu hii nyumba itokee.Huuzi hiyo nyumba? Nina 150 nikupe kesh
Its a priceless house. Na hivi nimeijengea kilimani ilinilazimu kuchimba sana chini ili kupata level.
Hiyo nyumba yote ya chini nimejengea zege.
Yani tofali, tofali, katikati zege!