Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Tatizo la hao kk na road ni vumbi likitimuliwa na wapita njia huleta mafua kwa kkna pia hawataki stress za keleleDah. Imepita kati kati ya eneo langu.
Nina uwanja juu na chini.
Walioniuzia, walinisihi nisifunge bara bara nami nikawakubalia kwamba, wacha wana nchi wapite.