Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,760
- 6,921
Hii njia ni Public road au ipo ndani ya uzio wako?Mimi kwa sasa naishi mkoani.
Kuna nyumba ya ghorofa nilikuwa naijenga jijini Dars'lama.
Nikapiga mahesabu nikiimalizia na kuipangisha ntaambulia milioni moja.
Nikawaza nikiweka cages nikaweka kuku wa mayai naweza kupata faida ya hadi Tsh milioni tano.
Sasa nimeona niiezeke kawaida, niwekd cage, then nianze ufugaji.
Wana JF, naomba mnishauri kama kuna mahali nakosea kuhusu huu uekezaji ninaoupanga.
Shukrani.
View attachment 3697457
Dah. Imepita kati kati ya eneo langu.Hii njia ni Public road au ipo ndani ya uzio wako?
Yeah mkuu. Huko nyuma kwenye miaka 10 iliyopita niliwekeza kwenye sekta ya usafirishaji.fanya unachoona kina tija na faida CASE CLOSED
pole na Mungu Omnipotent singularity atakuwa na wewe kama. una watoto unaweza soma hapa kwa manufaa yao.Yeah mkuu. Huko nyuma kwenye miaka 10 iliyopita niliwekeza kwenye sekta ya usafirishaji.
Nilikuwa na magari mengi yakafa. Nilifilisika hadi nikifagia nyumbani kwangu, siokoti hata sh hamsini. Ndio maana nataka nijaribu ufugaji ku support kipato cha hii ajira niliyo nayo.
I'm curious, nini kilikufanya ufilisike?Yeah mkuu. Huko nyuma kwenye miaka 10 iliyopita niliwekeza kwenye sekta ya usafirishaji.
Nilikuwa na magari mengi yakafa. Nilifilisika hadi nikifagia nyumbani kwangu, siokoti hata sh hamsini. Ndio maana nataka nijaribu ufugaji ku support kipato cha hii ajira niliyo nayo.
Unaweza ukatudadavulia kidogo hyo biashara ya usafirishaji adi kufirisika.... Tujufunze kituYeah mkuu. Huko nyuma kwenye miaka 10 iliyopita niliwekeza kwenye sekta ya usafirishaji.
Nilikuwa na magari mengi yakafa. Nilifilisika hadi nikifagia nyumbani kwangu, siokoti hata sh hamsini. Ndio maana nataka nijaribu ufugaji ku support kipato cha hii ajira niliyo nayo.
Dah. Miaka iyo kirikuu ilikuwa habari ya mjini. Nikavinunua vingi. Tatizo vikawa havidumu. Nikatransition kwenda kwenye dala dala. Dala dala ya kwanza niliyonunua nayo ikala mzinga.Unaweza ukatudadavulia kidogo hyo biashara ya usafirishaji adi kufirisika.... Tujufunze kitu
Nitaupoerate remotely. My wife can help.Umesema upo mkoani vipi huo mradi wa ufugaji nani atausimamia? Mradi wa namna hiyo unahitaji usimamizi wa karibu ili uweze kufikia shabaha ya kutengeneza milioni 5 kwa mwezi.
Mkuu. Unaambiwa mjini njoo na mwili.Wakati unaanza ujenzi hukujua kama kuna kufuga kuku?