Nimeamua kuigeuza nyumba ya ghorofa banda la kuku

Dah. Imepita kati kati ya eneo langu.
Nina uwanja juu na chini.
Walioniuzia, walinisihi nisifunge bara bara nami nikawakubalia kwamba, wacha wana nchi wapite.
Tatizo la hao kk na road ni vumbi likitimuliwa na wapita njia huleta mafua kwa kkna pia hawataki stress za kelele
 
Kama pesa ya kumalizia imekata basi huo ni uamuzi murua.
Vinginevyo paua hilo gorofa halafu liache. Jenga hapo banda la kuku 500 au 1000. Endelea na huu mradi na nusu ya faida ielekeze kwenye ghorofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…