Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.

Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.

Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina mashimo zaidi ya elf nne 4000, Nimepanda mbegu mbili kila shimo ambapo ntakuwa na miche elf nane 8000, Kila mche uwe na matunda mawili inamaana ntakuwa na matunda elf 16.
kama nikiyatunza vizur ntapata 1500tsh kila tunda kwa hiyo matunda 16000 mara elf moja mia tano ntapata more than 28m.
Hata kama ntauza kwa 1000tsh ntakuwa na 16m ,

Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,

tutakianeni Khmer.

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Duuuh umenikumbusha 2001 - 2006 nilikuwa nahesabu kama hizo ila haikuwahi kutokea, mara mafuriko wakati mwingine soko nk. nasuiri sana mrejesho kijana
 
Duh.... huku mrejesho ilishindikana au ndo hvo mambo hayakupendeza kabisa?
 
Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.

Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.

Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina mashimo zaidi ya elf nne 4000, Nimepanda mbegu mbili kila shimo ambapo ntakuwa na miche elf nane 8000, Kila mche uwe na matunda mawili inamaana ntakuwa na matunda elf 16.
kama nikiyatunza vizur ntapata 1500tsh kila tunda kwa hiyo matunda 16000 mara elf moja mia tano ntapata more than 28m.
Hata kama ntauza kwa 1000tsh ntakuwa na 16m ,

Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,

tutakianeni Khmer.

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Upo hatua gani kwa sasa ktk huo mpango? Tangu upande ina muda gani?
 
Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.

Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.

Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina mashimo zaidi ya elf nne 4000, Nimepanda mbegu mbili kila shimo ambapo ntakuwa na miche elf nane 8000, Kila mche uwe na matunda mawili inamaana ntakuwa na matunda elf 16.
kama nikiyatunza vizur ntapata 1500tsh kila tunda kwa hiyo matunda 16000 mara elf moja mia tano ntapata more than 28m.
Hata kama ntauza kwa 1000tsh ntakuwa na 16m ,

Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,

tutakianeni Khmer.

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Mrejesho mkuu
 
Back
Top Bottom