BarTender
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 473
- 360
Hatuhitaji kujua soko lipoje, tunahitaji kujua mavuno yapo kiasi gani kwanza, je kafikia lengo, kavuka lengo au hajafikia lengo..!!!?
Kuwepo au kutokuwepo soko ni jambo jingine, kwa sababu kama ana hela anaweza akasafirisha mzigo to point B, ila uwingi au uchache wa mavuno ndo concern yetu nadhani.
Kaka ugumu wa Kilimo ni soko pekee, Japo kuna vijichangamoto vichache ila kuu ndo hili, Unakuta tikiti mteja anakuja shambani anataka kununua kwa bei ya jumla ya 800-1,500. na wewe Target uuze kwa 2500-3500. Na hao wanaokuja wanachukua tikiti 150-300 na wewe una tikiti 7000-12000.
Sasa hapo ndo unakuja kuta ni Kwanini Jakaya Kikwete nae juzi kati aliiomba Serikali itusaidie wakulima katika kutafuta soko, Japo kaja kuliona baada ya yeye kuja kuwa mkulima wa nanasi.