- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana, wajasiriamali huwa kwa kawaida si waoga. Kama maji yanapatikana vizuri, Pambana. Allah akuonyooshe Mkuu.Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.
Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.
Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina mashimo zaidi ya elf nne 4000, Nimepanda mbegu mbili kila shimo ambapo ntakuwa na miche elf nane 8000, Kila mche uwe na matunda mawili inamaana ntakuwa na matunda elf 16.
kama nikiyatunza vizur ntapata 1500tsh kila tunda kwa hiyo matunda 16000 mara elf moja mia tano ntapata more than 28m.
Hata kama ntauza kwa 1000tsh ntakuwa na 16m ,
Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,
tutakianeni Khmer.
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
very true. Jana nimeongea na mshikaji wangu wa kateshi ambaye amelima heka 20, amesema anauhakikika wa kuvuna 450 bags za mahindi. gharama aliyotumia ni kama 12mil hivi. Kinalipa haswa. Kikubwa ni kuthubutu.Duhh aisee ni wazo zuri sana!! Kilimo ukiwa mfuatiliaji wa karibu kinalipa sana tu....
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Umefanya jambo jema hata sisi waajiriwa tunajihusisha na shughuli binafsi nje ya ajira, napenda nikutie moyo kua utakutana na changamoto nyingi lakini usikate tamaa Dada yako nimeanza kuvuna saa hzi ninachoombea ni jua tu kukausha mazao yanguHabari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.
Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.
Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina mashimo zaidi ya elf nne 4000, Nimepanda mbegu mbili kila shimo ambapo ntakuwa na miche elf nane 8000, Kila mche uwe na matunda mawili inamaana ntakuwa na matunda elf 16.
kama nikiyatunza vizur ntapata 1500tsh kila tunda kwa hiyo matunda 16000 mara elf moja mia tano ntapata more than 28m.
Hata kama ntauza kwa 1000tsh ntakuwa na 16m ,
Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,
tutakianeni Khmer.
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Umetisha sana hongera mamyUmefanya jambo jema hata sisi waajiriwa tunajihusisha na shughuli binafsi nje ya ajira, napenda nikutie moyo kua utakutana na changamoto nyingi lakini usikate tamaa Dada yako nimeanza kuvuna saa hzi ninachoombea ni jua tu kukausha mazao yangu![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitafutie shamba nije au nipe namba yako pmMarafiki zangu wana jf, ndugu zangu watanzania nitatoa update zote kwa hatua ntakayo ifikia ila pale unapofikiria ningeanza na hekar moja Mimi nafikiri kuongeza hekar ya 4. Narudia tena kusema mtaji ninao na soko kwa maeneo niliyopo linaenda kuwa zuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hongera sana Dada yangu .Ninatamani kujifunza mengi sana kutoka kwako kuhus kilimo nimeona aisee umetisha sana.Naomba ruhusa yako niku pmUmefanya jambo jema hata sisi waajiriwa tunajihusisha na shughuli binafsi nje ya ajira, napenda nikutie moyo kua utakutana na changamoto nyingi lakini usikate tamaa Dada yako nimeanza kuvuna saa hzi ninachoombea ni jua tu kukausha mazao yangu![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekupm mdaAiseee hongera sana Dada yangu .Ninatamani kujifunza mengi sana kutoka kwako kuhus kilimo nimeona aisee umetisha sana.Naomba ruhusa yako niku pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice start charii..unachokifanya hutojutia aidha upate hasara au faida, yote itakuwa ni faida kwako. Kama utapata hasara utakuwa umejifunza so its an even case kama hasara iyo haitakupoteza
Ninachokusifu ni kwmb umeanza mradi ndio ukatangaza, nice move kwa entrepreneur..imagine kama ndio ungekuwa unajipanga halafu ukaomba ushauri..all this nonsense za humu zingekukatisha tamaa, iyo ni mbinu nzuri sana nakumbuka kuna kipindi nilitaka kufanya biashara fulani na utafiti wangu ulionyesha soko la kwetu apa limedorora ila Kenya kulikuwa na market nzuri sana, alichoniambia mentor wangu ni kwamb nisimshirikishe mtu yeyote kabla ya kwenda.
So nilichokifanya nilienda nikauza,nikarudi ndio nikawajulisha baadhi ya watu wng wa karib na wote walinipinga wazo la kenya na mifano ya watu kibao waliopigwa huko nikapewa but niliwanyamazisha wote niliposema hii ni round ya pili naenda.
Kwaio usirudishwe nyuma na maneno ya watu walioshindwa, umethubutu na iyo ni hatua kubwa. Ujasiriamali/biashara sio kitu cha kubeep ts either yo in or out for good..Mentor wangu hupenda kusema 'put all eggs in one basket and carry it with both hands' tena heka hizo nichache ungejilipua hata kumi kama mfuko ungekuruhus.
Hizi maneno za heka ya majaribio ni za watu ambao wameshindwa mbona kuoa hawatoi mahari nusu kwmb anaenda kujaribu.
Good luck in yo project!!..'Pray as if its up to God and work as if its up to you'