Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

Mbona nimetoa sababu hapo tayari, nimesema kama mtaji wake wa fedha ni limited sio smart ku venture zote kwenye kitu hajawahi fanya...
Kwanini afanye vitu kwa kujaribu kama amejiandaa na ameshajiridhisha kwa kufanya tafiti zote zinazohusiana na mradi wake na akaona uko mbeleni kuna uwezekano mkubwa wa kupata faida na uwezekano mdogo wa kupata hasara?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Una mtaji kiasi gani,?
Kama mtaji ni wa kudunduliza na hujawahi kulima kisha ukaanza na heka tatu, elimu yako ya chuo haijakusaidia, unafanya venture kwa kusukumwa na mizuka biashara ukiziendea kwa mizuka unakula za uso tu
Ungeanza na heka 1 au 2 kujifunzia makosa yako
Tatizo wengi wanakimbilia kwenye kilimo baada ya kupigiwa hesabu na hawa wahamasishaji faida za kilimo kwenye semina zao.

Kilimo sio kirahisi hivi kama kinavyochukuliwa, jamaa kabla hata hajaanza kulima kaishapigia hesabu za 16M na 28M.
 
Kwanini afanye vitu kwa kujaribu kama amejiandaa na ameshajiridhisha kwa kufanya tafiti zote zinazohusiana na mradi wake na akaona uko mbeleni kuna uwezekano mkubwa wa kupata faida na uwezekano mdogo wa kupata hasara?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
'Uwezekano mkubwa wa faida na uwezekano mdogo wa hasara' inamaanisha mambo hayapo certain, kujihakikishia nafasi ya pili ya kufanya tena, ni kuweka unayoweza ku afford kupoteza, wakulima wazoefu wanaingia loss sometimes
 
Tatizo wengi wanakimbilia kwenye kilimo baada ya kupigiwa hesabu na hawa wahamasishaji faida za kilimo kwenye semina zao.

Kilimo sio kirahisi hivi kama kinavyochukuliwa, jamaa kabla hata hajaanza kulima kaishapigia hesabu za 16M na 28M.
kweli sio rahisi, lakini ni worth kujaribu, na ukijaribu kuwa makini
 
Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.

Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.

Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina mashimo zaidi ya elf nne 4000, Nimepanda mbegu mbili kila shimo ambapo ntakuwa na miche elf nane 8000, Kila mche uwe na matunda mawili inamaana ntakuwa na matunda elf 16.
kama nikiyatunza vizur ntapata 1500tsh kila tunda kwa hiyo matunda 16000 mara elf moja mia tano ntapata more than 28m.
Hata kama ntauza kwa 1000tsh ntakuwa na 16m ,

Ntaleta mrejesho mwezi wa tisa,

tutakianeni Khmer.

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
ni jambo jema pia Take risk natumain utafanilkiwa kila la kher usisahau kunitag siku ukleta mrejesho
 
Mmeahamia mashambani kupiga deal eenh ngoja mwenye chuki ajue kama hajayataifisha mashamba yenu...
Siasa kila sehemu? Waache wadau wajadili kilimo, ujasiriamali na changamoto zake. Huyo usiempenda hata ukimshambulia vipi hatabadili maisha yako kama hautatumia muda wako vizuri kujitafutia kipato.
 
Sio kila mtu atafeli kwenye project yake ya kwanza, acheni kumtisha kijana. Kijana kaona fursa.

Nikupe angalizo lkn mara nyingi kwenye kilimo ukiona soko halijajaa ujue ni kipindi ambacho hali ya hewa hairuhusu kupanda zao husika kwahiyo hakikisha unaenda shamba mara kwa mara na tafuta mtu mzoefu aliye wahi kulima kipindi hiki huko ulipo
 
'Uwezekano mkubwa wa faida na uwezekano mdogo wa hasara' inamaanisha mambo hayapo certain, kujihakikishia nafasi ya pili ya kufanya tena, ni kuweka unayoweza ku afford kupoteza, wakulima wazoefu wanaingia loss sometimes

Ni jambo gani unalolifahamu wewe lenye manufaa ambalo siku zote liko 'certain'!?

Hivi katika haya maisha kuna kipi unachoweza kufanya chenye uhakika 100% ya kukupa faida uliyokusudia ehee!? Hata kitendo cha kumpa mwanamke mimba kina "uncertainty" anaweza aisizae au akazaa!

Kama ni kuogopa "uncertainties" basi hizo hela abaki nazo tu ndani wala hata asijaribu kuzepeleka kwenye uwekezaji wowote ule. Na huo ni upuuzi uliotukukuka!

Kupata loss ni suala la kawaida kwenye uwekezaji wowote lakini ni kwanini uangalie zaidi kupata loss kuliko kuwa makini hili usipate loss utengeneze faida!?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Sio kila mtu atafeli kwenye project yake ya kwanza, acheni kumtisha kijana. Kijana kaona fursa.

Nikupe angalizo lkn mara nyingi kwenye kilimo ukiona soko halijajaa ujue ni kipindi ambacho hali ya hewa hairuhusu kupanda zao husika kwahiyo hakikisha unaenda shamba mara kwa mara na tafuta mtu mzoefu aliye wahi kulima kipindi hiki huko ulipo
una uhakika na hicho ulichoandika hapo kwenye blue?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Tatizo wengi wanakimbilia kwenye kilimo baada ya kupigiwa hesabu na hawa wahamasishaji faida za kilimo kwenye semina zao.

Kilimo sio kirahisi hivi kama kinavyochukuliwa, jamaa kabla hata hajaanza kulima kaishapigia hesabu za 16M na 28M.
Duh cc wabongo ni shida kwel nan kakwambia cjalima haaa, ok sio kesi sana kila mtu na njia yake mimi kilimo ndo nimechagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marafiki zangu wana jf, ndugu zangu watanzania nitatoa update zote kwa hatua ntakayo ifikia ila pale unapofikiria ningeanza na hekar moja Mimi nafikiri kuongeza hekar ya 4. Narudia tena kusema mtaji ninao na soko kwa maeneo niliyopo linaenda kuwa zuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice start charii..unachokifanya hutojutia aidha upate hasara au faida, yote itakuwa ni faida kwako. Kama utapata hasara utakuwa umejifunza so its an even case kama hasara iyo haitakupoteza

Ninachokusifu ni kwmb umeanza mradi ndio ukatangaza, nice move kwa entrepreneur..imagine kama ndio ungekuwa unajipanga halafu ukaomba ushauri..all this nonsense za humu zingekukatisha tamaa, iyo ni mbinu nzuri sana nakumbuka kuna kipindi nilitaka kufanya biashara fulani na utafiti wangu ulionyesha soko la kwetu apa limedorora ila Kenya kulikuwa na market nzuri sana, alichoniambia mentor wangu ni kwamb nisimshirikishe mtu yeyote kabla ya kwenda.

So nilichokifanya nilienda nikauza,nikarudi ndio nikawajulisha baadhi ya watu wng wa karib na wote walinipinga wazo la kenya na mifano ya watu kibao waliopigwa huko nikapewa but niliwanyamazisha wote niliposema hii ni round ya pili naenda.

Kwaio usirudishwe nyuma na maneno ya watu walioshindwa, umethubutu na iyo ni hatua kubwa. Ujasiriamali/biashara sio kitu cha kubeep ts either yo in or out for good..Mentor wangu hupenda kusema 'put all eggs in one basket and carry it with both hands' tena heka hizo nichache ungejilipua hata kumi kama mfuko ungekuruhus.

Hizi maneno za heka ya majaribio ni za watu ambao wameshindwa mbona kuoa hawatoi mahari nusu kwmb anaenda kujaribu.

Good luck in yo project!!..'Pray as if its up to God and work as if its up to you'
 
Jf kwangu ni zaidi ya chuo [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo gani unalolifahamu wewe lenye manufaa ambalo siku zote liko 'certain'!?

Hivi katika haya maisha kuna kipi unachoweza kufanya chenye uhakika 100% ya kukupa faida uliyokusudia ehee!? Hata kitendo cha kumpa mwanamke mimba kina "uncertainty" anaweza aisizae au akazaa!

Kama ni kuogopa "uncertainties" basi hizo hela abaki nazo tu ndani wala hata asijaribu kuzepeleka kwenye uwekezaji wowote ule. Na huo ni upuuzi uliotukukuka!

Kupata loss ni suala la kawaida kwenye uwekezaji wowote lakini ni kwanini uangalie zaidi kupata loss kuliko kuwa makini hili usipate loss utengeneze faida!?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
huelewi point yangu hapa, mimi nimemwambia atapata loss na asilime? rudia kusoma tena, ukishindwa mwambie mtoa mada akueleweshe maana inaonekana yeye kaelewa ila wewe bado
 
Hongera mwana lazima vijana tulijenge taifa letu hata kama wanaotuongoza wanatuharibia, Kilimo kinavikwazo kimojawapo kikubwa ni soko, so kuwa makini na madalali maana jamaa ni wanyonyaji sana hao na usikate tamaa mpka kieleweke
 
huelewi point yangu hapa, mimi nimemwambia atapata loss na asilime? rudia kusoma tena, ukishindwa mwambie mtoa mada akueleweshe maana inaonekana yeye kaelewa ila wewe bado
Chinchilla coat wewe una fikra za kioga sana unachofanya hapa hizo fikra zako za kioga, za Mashaka mashaka, za kufanya mambo kwa hofu unataka kuziambukiza hapa kwa watu ukiziona ndio sahihi wakati ni za kipuuzi.

Wewe kama unaogopa risky basi ni wewe na usitake kila mtu awe kama wewe. Mimi nimekuelewa tangu mwanzo na ndio maana nilianza kwa nilikuuliza "kwanini unaona fikra zako ni sahihi"!? Sababu niliona fikra zako za kike na za kioga zina mlengo hasi wa kubeza juhudi zake. Na ndio maana hadi ukatoa presumptive statement ya kishenzi eti elimu yake haijamsaidia.

Halafu wewe ndio nna mashaka hata kama ulielewa mada, mwenyewe alishasema kama ni mtaji sio tatizo ila wewe unamwambia angeanza na acres 2 au 1, naami kwa fikra zako hizi hata angeanza na acre 1ungemwambia aanze kulima kwanza kujaribu nusu heka.

Hizo tabia za kufanya mambo kwa kuvizia vizia usilete ushauri humu jukwaani baki nazo wewe au uwashauri wanao.

Teh...eti nimebeza, na unang'ang'ania kuwa umeelewa..sio issu sana anyway
 
Ok mkuu nashukuru sana kwa comment yako hata hivyo cost nineshindwa kuiweka kwa sabab project haijafikia mwisho ,wakat natoa mrejesho ntaweka na cost but mpaka sasa namshukur MUNGU sana maana cost niliyotumia mpaka sasa sio kubwa
Nimekodisha shamba kwa30,000Tshs Kwa kila hekar sasa Kwa heka tatu ni 90,000Tshs. Nimelimiwa Kwa sheli Za ng"ombe Kwa 10,000Tshs per hear,vibarua ni cheap sana hk nilikolimia.Nilinunua mbegu Za kisasa aina ya kingsuger ambayo 500gm nilipanda hekar moja na nusu Kwa hiyo utaona hekar tat nilinunua gram 1000. Gharama ya mafuta kwa maana kumwagilia nime budget lak6 hadi kuvuna na ninaona haitaisha yote, gharama zingine Kama kununua viuatilifu I mean madawa pamoja na mbolea kama NPK sio kubwa unakuta dawa chupa inauzwa elf 5, mbolea kilo moja elf 1. Kuhusu soko lipo la uhakika huku kwet sa iv tikit hazipo za kutosha wauzaj wanalazika kufata mikoa jiran Kwa gharama kubwa hadi sasa ninawateja watatu ambao kila mmoja anajinadi kuyachukua yote. Pia nimeongea na watu wa kiwanda flan ivi wao wanasema nikifikisha angalau tani 10 ambapo Kama hekar mbili zimetuzwa vizur zinafikisha wao wataijia mzigo shamban

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Mkuu umelimia wapi?
 
Back
Top Bottom