Mbadala sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 280
- 139
Mkuu tuchekiane PM maana mm pia nimejilipua kwa ekali moja na point. Nina miche kma 4700. Huku pande za Misungwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuchekiane PM maana mm pia nimejilipua kwa ekali moja na point. Nina miche kma 4700. Huku pande za Misungwi
Uache ujuaji wa kuambukiza wenzio uwoga na ujinga ulionao.Teh...eti nimebeza, na unang'ang'ania kuwa umeelewa..sio issu sana anyway
hapa ni jukwaa huru, hatuwekeani mpaka wa mawazo, you take it or leave itUache ujuaji wa kuambukiza wenzio uwoga na ujinga ulionao.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Haya sasa wasomi wameanza mambo Yao. Wewe unalima?Ushafanya utafiti wa soko? Cost of production vepe? Mana naona hesabu zako zimeegemea upande mmoja tu wa mzani a good and clever entrepreneur must know how to balance the sheets! Nakutakia kilimo chema mkuu!
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Mwingine huyo. Nyie wajuaji bhana. Sasa atajifunza vipi bila kufanya makosa? Hata kama angeanza na heka kumi. Mpe ushauri productive na positive, mwache ajifunze kupitia makosa atakayofanya.Una mtaji kiasi gani,?
Kama mtaji ni wa kudunduliza na hujawahi kulima kisha ukaanza na heka tatu, elimu yako ya chuo haijakusaidia, unafanya venture kwa kusukumwa na mizuka biashara ukiziendea kwa mizuka unakula za uso tu
Ungeanza na heka 1 au 2 kujifunzia makosa yako
Asante Mkuu. Mwenyezi Mungu akutangulie. Big upOk mkuu nashukuru sana kwa comment yako hata hivyo cost nineshindwa kuiweka kwa sabab project haijafikia mwisho ,wakat natoa mrejesho ntaweka na cost but mpaka sasa namshukur MUNGU sana maana cost niliyotumia mpaka sasa sio kubwa
Nimekodisha shamba kwa30,000Tshs Kwa kila hekar sasa Kwa heka tatu ni 90,000Tshs. Nimelimiwa Kwa sheli Za ng"ombe Kwa 10,000Tshs per hear,vibarua ni cheap sana hk nilikolimia.Nilinunua mbegu Za kisasa aina ya kingsuger ambayo 500gm nilipanda hekar moja na nusu Kwa hiyo utaona hekar tat nilinunua gram 1000. Gharama ya mafuta kwa maana kumwagilia nime budget lak6 hadi kuvuna na ninaona haitaisha yote, gharama zingine Kama kununua viuatilifu I mean madawa pamoja na mbolea kama NPK sio kubwa unakuta dawa chupa inauzwa elf 5, mbolea kilo moja elf 1. Kuhusu soko lipo la uhakika huku kwet sa iv tikit hazipo za kutosha wauzaj wanalazika kufata mikoa jiran Kwa gharama kubwa hadi sasa ninawateja watatu ambao kila mmoja anajinadi kuyachukua yote. Pia nimeongea na watu wa kiwanda flan ivi wao wanasema nikifikisha angalau tani 10 ambapo Kama hekar mbili zimetuzwa vizur zinafikisha wao wataijia mzigo shamban
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Yaani kunaviumbe wajuaji mpaka wanakera. Very stupidSwali kwako, ni kwanini unaona hizi fikra zako ni sahihi mpaka unafikia hatua ya kusema elimu yake haijamsaidia?
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
nimemuuliza kama mtaji extra zaidi ya huo wa heka tatu, akaniambia ok, that's goodMwingine huyo. Nyie wajuaji bhana. Sasa atajifunza vipi bila kufanya makosa? Hata kama angeanza na heka kumi. Mpe ushauri productive na positive, mwache ajifunze kupitia makosa atakayofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wasomi wa bongo hasa wa miaka hii ya Leo ni watu wa ovyo sana na ni wa kupuuza.
Nimekuelewa Sana Mkuu. TZ tunafundishwa kufanya siasa, wakati wenzetu wanafunfishwa kuishi Kwa kutumia elimu waliyopata.Mkuu wasomi wa bongo hasa wa miaka hii ya Leo ni watu wa ovyo sana na ni wa kupuuza.
Wasomi wengi wa bongo ni wavivu,waoga,wajuaji na ni wajinga pia.
Ukimchukua msomi wa bongo na msomi wa Kenya ambao wako level sawa kimaisha na hawana ajira baada ya miaka miwili msomi wa bongo utamkuta yuko pale pale anaomba hela ya nauli wakati huo wa Kenya atakuwa hata anaendesha NGO yake mwenyewe.
Huyo niliyemquote ni mmoja wapo ya wapuuzi ambao wanastahili kupuuzwa kwenye hili jukwaa.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Stupid ni mtu anatoa povu kwa ushauri simple tu, kuweka provision kwa ajili ya matokeo hasi, beyond stupid
Kila la kheri mkuuuAhsante sana mkuu ushaur wako naufanyia kazi
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Vyovyote. Ungetumia Lugha nzuri sawa. Ume act kama ni mtu unajuuuuuua. Next time kuwa na staha na maisha ya watu. Usijione wewe ndio unajua kila kitu. Pia wape wenzio nafasi ya kujifunza. Toa ushauri wako lakini wenye mlengo wa kumtia moyo na sio kumuongezea woga.Stupid ni mtu anatoa povu kwa ushauri simple tu, kuweka provision kwa ajili ya matokeo hasi, beyond stupid
You seem more concerned with a message not directed to you, why is that?Vyovyote. Ungetumia Lugha nzuri sawa. Ume act kama ni mtu unajuuuuuua. Next time kuwa na staha na maisha ya watu. Usijione wewe ndio unajua kila kitu. Pia wape wenzio nafasi ya kujifunza. Toa ushauri wako lakini wenye mlengo wa kumtia moyo na sio kumuongezea woga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wapi hukoOk mkuu nashukuru sana kwa comment yako hata hivyo cost nineshindwa kuiweka kwa sabab project haijafikia mwisho ,wakat natoa mrejesho ntaweka na cost but mpaka sasa namshukur MUNGU sana maana cost niliyotumia mpaka sasa sio kubwa
Nimekodisha shamba kwa30,000Tshs Kwa kila hekar sasa Kwa heka tatu ni 90,000Tshs. Nimelimiwa Kwa sheli Za ng"ombe Kwa 10,000Tshs per hear,vibarua ni cheap sana hk nilikolimia.Nilinunua mbegu Za kisasa aina ya kingsuger ambayo 500gm nilipanda hekar moja na nusu Kwa hiyo utaona hekar tat nilinunua gram 1000. Gharama ya mafuta kwa maana kumwagilia nime budget lak6 hadi kuvuna na ninaona haitaisha yote, gharama zingine Kama kununua viuatilifu I mean madawa pamoja na mbolea kama NPK sio kubwa unakuta dawa chupa inauzwa elf 5, mbolea kilo moja elf 1. Kuhusu soko lipo la uhakika huku kwet sa iv tikit hazipo za kutosha wauzaj wanalazika kufata mikoa jiran Kwa gharama kubwa hadi sasa ninawateja watatu ambao kila mmoja anajinadi kuyachukua yote. Pia nimeongea na watu wa kiwanda flan ivi wao wanasema nikifikisha angalau tani 10 ambapo Kama hekar mbili zimetuzwa vizur zinafikisha wao wataijia mzigo shamban
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
kama sikosei amesema ni SIMIYU... Naomba kurekebishwa maana naona mkulima bado yupo shambani (joke)...