Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Kwanini afanye vitu kwa kujaribu kama amejiandaa na ameshajiridhisha kwa kufanya tafiti zote zinazohusiana na mradi wake na akaona uko mbeleni kuna uwezekano mkubwa wa kupata faida na uwezekano mdogo wa kupata hasara?Mbona nimetoa sababu hapo tayari, nimesema kama mtaji wake wa fedha ni limited sio smart ku venture zote kwenye kitu hajawahi fanya...
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.