Kikurajembe
Member
- Oct 23, 2015
- 82
- 23
Nivema ukaishinda hiyo roho ya kifo.weka Jina na namba ya baba yako asakwe na kuchukuliwa measure juu ya suala lako.Usijaribu kufanya depopulation ni kinyume cha sheria na ni dhambi kwa Mungu."Acha mara moja"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.
Nyumbani tukabaki mimi na baba tuu, baada ya muda kidogo baba alianza tabia ya kunilawiti kila siku, mwanzoni niliumia sana lakini baadae nilifurahia hali hiyo na nilikuwa saa zingine nakumbushia mwenyewe kutokana na kuwa na muwasho ambao akiniingiza dudu unatulia.
Hali hiyo imepelekea mimi kuwa shoga. Ninachukiwa sana hapa mtaani na watu kwa sababu ya ushoga wangu, nimenusurika kuuawa mara mbili kwa sababu hiyo. Hakuna sehemu ninayopendwa, nimekata shauri kujimaliza usiku huu wa leo. Nimeshanunua sumu ya panya ili kutimiza hilo na naandika huu ujumbe nikiwa guest house moja hivi maeneo ya Dsm.
Nawaomba msamaha wale wote niliowakosea humu ndani hasa tatty, kwa herini wapendwa wote, tutaonana ahera.
Kwa herini nyote.
Ulishawah kwend kwa Dr kuangalia kma ana ushauri wwte au namna yyte y kuwez kukusaidia?
Mtafute na fisadi Lowasa huenda akakusindikiza kwenye hiyo safari!
HALI ILIYOKUTOKEZEA UTOTONI INAWAKUMBA WENGI TUU KUHARIBIWA NA WANA FAMILIA, BABA, MJOMBA, BAMDOGO, KAKA, RAFIKI WA BABA, JIRANI n.k.
KWA KWELI HALI ULIYOELEZEA INASIKITISHA SANA TENA SANA USIFANYE UAMUZI HUO ULIOFIKIA. MUNGU HAJAKWAMBIA KUWA JITOE ROHO YAKO MIMI SIKUTAKI.
NINALOKUSHAURI UHAME SEHEMU UNAYOISHI NA UENDE SEHEMU NYENGINE AMBAYO HAWAKUJUI KABISA NA UBADILISHE TABIA KUWA MWANAMME WA KAWAIDA NA JITAHIDI KUEPUKANA NA HIVYO VITENDO NA KUANZA MAISHA MAPYA YA KUWA NA MKE.
There is always the way, and haikua chaguo lako kuwa hivyo. Don't take that decision