Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

Nivema ukaishinda hiyo roho ya kifo.weka Jina na namba ya baba yako asakwe na kuchukuliwa measure juu ya suala lako.Usijaribu kufanya depopulation ni kinyume cha sheria na ni dhambi kwa Mungu."Acha mara moja"
 
Wewe acha

Naomba usome humu tena

Unaweza kuhama kuanza maisha mji mwingine tafadhali.
 
Najua kifo kinauma ukiwa hujafa hasa pale unapolinganisha kifo na uhai na unapotamani vya dunia.

Kwa hili ndugu yangu kama Mungu bado amekuweka sitisha uamuzi wako toweka maeneo unayoishi pia tafuta kanisa la watu waliookoka mf.EAGT au TAG au FPCT onana na Mchungaji atakusaidia hiyo roho itaisha na utafurahia maisha mapya.:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Huyu kaka posti zake za siku zilizopita mie hoi

Duh, hiyo kitu inaelekea wakiizoea hayari sana.

Haya usijiue hama mji
 
Lol kishakufa nini Wackal naona haonekani tena online....R.I.P wackal
 
Huyu kaka nimejikuta nilimnoti kwa post zake humu hizi siku za mwezi huu hata kwa post ya jay dee alinishangaza alichoandika sasa nikajua y aliandika vile kama mwanaume.

Siku tatu zimepita alisrma yupo mchuma anatafuta mtu

Kuna kitu kweli labda ndio hiyo kutoweza kupata wa kumpa raha inamuuma roho yupo mwenyewe.

Baba yake ndio kosa, Mungu msaidie huyu.
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.
Nyumbani tukabaki mimi na baba tuu, baada ya muda kidogo baba alianza tabia ya kunilawiti kila siku, mwanzoni niliumia sana lakini baadae nilifurahia hali hiyo na nilikuwa saa zingine nakumbushia mwenyewe kutokana na kuwa na muwasho ambao akiniingiza dudu unatulia.
Hali hiyo imepelekea mimi kuwa shoga. Ninachukiwa sana hapa mtaani na watu kwa sababu ya ushoga wangu, nimenusurika kuuawa mara mbili kwa sababu hiyo. Hakuna sehemu ninayopendwa, nimekata shauri kujimaliza usiku huu wa leo. Nimeshanunua sumu ya panya ili kutimiza hilo na naandika huu ujumbe nikiwa guest house moja hivi maeneo ya Dsm.
Nawaomba msamaha wale wote niliowakosea humu ndani hasa tatty, kwa herini wapendwa wote, tutaonana ahera.
Kwa herini nyote.

Tafadhali usiondoe roho yako. Lipo jibu na yupo Muumba ambaye anaweza kukusaidia, nakusihi sana, tafadhali omba na muite Yesu alie hai, atakuondolea majanga yote na kukuweka huru.

Please don't do what you are intending to do.
 
Pole, file mashitaka kwa huyo mzee, Na kwa mtu yoyote anayekunyanyapaa
 
Naomba Mungu aingilie hili jambo na hiyo sumu mpaka asbuhi isiwe imemuua na hivyo wahudumu wamsikie anavyokoroma wamuwahishe hospital apone asome ushauri aliopewa na wana JF kisha ahadilike kabisa.

MAY GOD DO SOMETHING OVER WACKALS SAUL.amen

Kikurajembe
 
R.i.p shoga msalimie GOOGLE mwambie tunamkumbuka sana jf
 
Last edited by a moderator:

Mtafute na fisadi Lowasa huenda akakusindikiza kwenye hiyo safari!


Mkuu vipi tena mbona unataka kuharibu hali ya hewa???,halafu kuwa makini na kauli zako waulize akina Selina Kombani,Mtikila na wenzao wengine,Jamani Mwacheni Mungu aitwe Mungu maana kwake yeye Wa kwanza huwa wa Mwisho na wa mwisho huwa wa kwanza;Kamwe usimtabirie mabaya Mwanadamu mwenzako hata km amekuudhi kiasi gani,maana mwenye kujua hbr kulala mauti ni Mungu Mwenyewe,Tuombe sana Mungu atuepushe na fikra butu za kuwatabiria wenzetu vifo.
 
HALI ILIYOKUTOKEZEA UTOTONI INAWAKUMBA WENGI TUU KUHARIBIWA NA WANA FAMILIA, BABA, MJOMBA, BAMDOGO, KAKA, RAFIKI WA BABA, JIRANI n.k.
KWA KWELI HALI ULIYOELEZEA INASIKITISHA SANA TENA SANA USIFANYE UAMUZI HUO ULIOFIKIA. MUNGU HAJAKWAMBIA KUWA JITOE ROHO YAKO MIMI SIKUTAKI.
NINALOKUSHAURI UHAME SEHEMU UNAYOISHI NA UENDE SEHEMU NYENGINE AMBAYO HAWAKUJUI KABISA NA UBADILISHE TABIA KUWA MWANAMME WA KAWAIDA NA JITAHIDI KUEPUKANA NA HIVYO VITENDO NA KUANZA MAISHA MAPYA YA KUWA NA MKE.

Safi sana dada Selina umetoa maneno ya Hekima kuzidi Midume ya humu ndani,wengi wao wamekazania kejeli,dharau bila kujali kuwa huyu mtu aliingizwa ktk hali hii kutokana na mzazi wake na ni tokea utotoni,hapa ni kumpa Ushauri wa Kisaikolojia tu!!,big up sister.
 
Hivyo ulivyo hujataka wewe, na kwa kuwa umetambua hilo linalokukera nenda kwa kiongozi wako wa kiimani ukatakuongoza kutubu kwa Mungu wako utasamehewa ikiwa utamaanisha kweli .
 
Upo uwezekano huyu MTU yuko serious na alichoandika!comments nyingi zimekuwa za kejeli lakini itakathibitika kuwa kajiua kweli nadhani kuna watakaojutia!
 
Back
Top Bottom