Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo.
Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu imekuwa kazi na tumbo likekuwa kubwa kama Nina kitambi vile.
Sina hamu ya kula maana nahisi muda wote tumbo limejaa na kile chakula kilichopo ndani ya tumbo kinakuwa kama Cha moto kinaniunguza.
Kwahivyo nikiwa mbele za watu najifanya nikama Sina tatizo hata nikipewa chakula nakula vijiko viwili basi nimeshiba.Wengine wanasema nimepunguza kula Sana na kunipongeza lakini hawajui ni matatizo ninayopitia Mimi.
Kwa hali hii sijui kama nitatoboa kuishi Miaka mingi na sasahivi.Nikiwa na watu nafurahi ila nikiwa mwenyewe nalia Sana mateso haya.
Naombeni ushauri au msaada.
1. Kama ni maji nakunywa vikombe vitatu Kila baada ya lisaa hivyo Kwa siku ni zaidi ya Lita 3
2. Kama ni matunda natumia Sana
LAKINI MATOKEO HAMNA