Nimeamua kukata tamaa na tatizo langu la kukosa choo

1. Chukua chumvi ya pink kijiko kimoja isage na uitie maji ya uvuguvugu nusu lita na huo mchanganyiko kamulia limao unywe....baada ya nusu saa hakikisha uko karibu na choo
2. Chukua ukwaju kama unatengeneza juice nzito hivi. Kunywa glass moja kila baada ya masaa 6

Hela ya kumuona daktari katoe sadaka unakoabudu tafadhali
 
Nenda hospital,kukosa choo kukiambatana na maumivu ya tumbo au kiuno ni serious case

Intestinal obstruction ukizembea unakufa asubuhi tu
 
Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo.

Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu imekuwa kazi na tumbo likekuwa kubwa kama Nina kitambi vile.

Sina hamu ya kula maana nahisi muda wote tumbo limejaa na kile chakula kilichopo ndani ya tumbo kinakuwa kama Cha moto kinaniunguza.

Kwahivyo nikiwa mbele za watu najifanya nikama Sina tatizo hata nikipewa chakula nakula vijiko viwili basi nimeshiba.Wengine wanasema nimepunguza kula Sana na kunipongeza lakini hawajui ni matatizo ninayopitia Mimi.

Kwa hali hii sijui kama nitatoboa kuishi Miaka mingi na sasahivi.Nikiwa na watu nafurahi ila nikiwa mwenyewe nalia Sana mateso haya.

Naombeni ushauri au msaada.

1. Kama ni maji nakunywa vikombe vitatu Kila baada ya lisaa hivyo Kwa siku ni zaidi ya Lita 3

2. Kama ni matunda natumia Sana

LAKINI MATOKEO HAMNA
Matunda gani unakula? Matikiti?
Ushauri wangu ni jitahidi ule vyakula vyenye fiber.
Au tulitibu hilo ka dharura, kanunua brown breade , kula , then baada ya lisaa shushia na apples kama nne, hizi aple ni nzuri sana kwenye kujusanya uchafu wa tumboni na kuuweka sehemu moja muda wote huo uwe unaendelea na kazi zako ukiwa umelalia tumbo, then shushia na wine after 5 minutes, hasa redwine.
Ukifanya hivyo hata kama umerogwa lazima upate matokeo. Usipopata matokeo basi kajiangalie kwenye kioo, usipojiona kwenye kioo basi hilo mdiyo tatizo, yaani you don't exist
 
Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo.

Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu imekuwa kazi na tumbo likekuwa kubwa kama Nina kitambi vile.

Sina hamu ya kula maana nahisi muda wote tumbo limejaa na kile chakula kilichopo ndani ya tumbo kinakuwa kama Cha moto kinaniunguza.

Kwahivyo nikiwa mbele za watu najifanya nikama Sina tatizo hata nikipewa chakula nakula vijiko viwili basi nimeshiba.Wengine wanasema nimepunguza kula Sana na kunipongeza lakini hawajui ni matatizo ninayopitia Mimi.

Kwa hali hii sijui kama nitatoboa kuishi Miaka mingi na sasahivi.Nikiwa na watu nafurahi ila nikiwa mwenyewe nalia Sana mateso haya.

Naombeni ushauri au msaada.

1. Kama ni maji nakunywa vikombe vitatu Kila baada ya lisaa hivyo Kwa siku ni zaidi ya Lita 3

2. Kama ni matunda natumia Sana

LAKINI MATOKEO HAMNA
Tafuta dawa inaitwa Bisacodyl kunywa 15mg, halafu ukafanye H.pylori test
 
Nenda pharmacy kanunue dawa inaitwa ‘omeprazole 20mg’ chances tumbo limejaa acid.

Nenda pharmacy kanunue hiyo dawa ukipata sasa hivi njoo baada ya masaa mawili ujapata choo waambie moderators wanifungie account.
 
Dah pole sana mkuu fata ushauri wa wadau utakuwa sawa tu MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE
 
Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo.

Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu imekuwa kazi na tumbo likekuwa kubwa kama Nina kitambi vile.

Sina hamu ya kula maana nahisi muda wote tumbo limejaa na kile chakula kilichopo ndani ya tumbo kinakuwa kama Cha moto kinaniunguza.

Kwahivyo nikiwa mbele za watu najifanya nikama Sina tatizo hata nikipewa chakula nakula vijiko viwili basi nimeshiba.Wengine wanasema nimepunguza kula Sana na kunipongeza lakini hawajui ni matatizo ninayopitia Mimi.

Kwa hali hii sijui kama nitatoboa kuishi Miaka mingi na sasahivi.Nikiwa na watu nafurahi ila nikiwa mwenyewe nalia Sana mateso haya.

Naombeni ushauri au msaada.

1. Kama ni maji nakunywa vikombe vitatu Kila baada ya lisaa hivyo Kwa siku ni zaidi ya Lita 3

2. Kama ni matunda natumia Sana

LAKINI MATOKEO HAMNA
Kunywa dawa ya minyoo Zentel
 
Nenda hospitali
 
Mbegu za mnyonyo tafuna mbili tu usizidishe , utaharisha mpaka wakupeleke hospital na kama kuna minyoo itatoka yote yani unakua mwepesiii .
Hakikisha unakaa karibu na choo au ndoo ya kuharishia na usitoke kwenda popote
 
Back
Top Bottom