Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo.
Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu imekuwa kazi na tumbo likekuwa kubwa kama Nina kitambi vile.
Sina hamu ya kula maana nahisi muda wote tumbo limejaa na kile chakula kilichopo ndani ya tumbo kinakuwa kama Cha moto kinaniunguza.
Kwahivyo nikiwa mbele za watu najifanya nikama Sina tatizo hata nikipewa chakula nakula vijiko viwili basi nimeshiba.Wengine wanasema nimepunguza kula Sana na kunipongeza lakini hawajui ni matatizo ninayopitia Mimi.
Kwa hali hii sijui kama nitatoboa kuishi Miaka mingi na sasahivi.Nikiwa na watu nafurahi ila nikiwa mwenyewe nalia Sana mateso haya.
Naombeni ushauri au msaada.
1. Kama ni maji nakunywa vikombe vitatu Kila baada ya lisaa hivyo Kwa siku ni zaidi ya Lita 3
2. Kama ni matunda natumia Sana
LAKINI MATOKEO HAMNA
🌳
FAIDA ZA MCHANGANYIKO WA ORGANIC APPLE CIDER VINEGAR NA ASALI MBICHI 🌳
⚡Inarekebisha Acid, Alkaline, na Body PH katika miili yetu.
⚡Inarekebisha mzunguko wa damu mwilini.
⚡Inaondoa mgando wa damu (blood clotting)
⚡Inaboresha Nguvu za Kiume
⚡Inatibu tatizo la tumbo kujaa gesi
⚡Inatibu tatizo la kukosa choo
⚡Inazuia na kutibu homa za mara kwa mara
⚡Inaboresha Kinga Mwilini.
⚡Inatibu tatizo la ugonjwa wa gaut na arthritis
⚡Ina control uzito wa mwili
☘Changanya asali mbichi robo lita na siki ya tufaha (organic apple cider vinegar) nusu lita,
Changanya mchanganyiko wako vizuri kabisa.
🌿
MATUMIZI 🌿
👉Chukua vijiko vitatu vya mchanganyiko wako koroga kwenye maji kikombe kimoja kunywa,
Utafanya hivyo kutwa mara mbili.
Endapo huna tatizo lolote la kiafya unaweza kutumia ndani siku sabaa
Kwa wale wenye afya tete, watumie zaidi ya siku 30.
Hizo ni Faida chache za kutumia mchanganyiko huo!!!
CHIEF SANG'IDA