Nimeamua kukata tamaa na tatizo langu la kukosa choo

Suluhisho 𝐂𝐚𝐬𝐭𝐨𝐫 𝐨𝐢𝐥 nenda hapo pharmacy ila ukae karibu na choo usiende mbali asante kwa kuharisha.
 
DR Mambo Jambo
 
Usigoogle dalili ya maradhi uliyo nayo ku google maradhi ni efficient way to convince yourself you're dying
 
Unalimbikiza madhara yake ni makubwa amua tu kafanya operesheni
 
kunywa juice ya ukwaju( siyo za azam) tengeneza mwenyewe,tafuta ukwaju loweka ,weka asali au sukari baada ya kuchuja kunywa ya kutosha
ikipita saa nzima hujaenda choooni ,utakua umerogwa. nicheck
 
Suluhisho 𝐂𝐚𝐬𝐭𝐨𝐫 𝐨𝐢𝐥 nenda hapo pharmacy ila ukae karibu na choo usiende mbali asante kwa kuharisha.
Mwambie tu anyweee nyumban motowake anawezaa jifungia choocha pharmacy ata akigongewa asifungue mlango
 
Ukifeli sana cheki na wamasai , wana dawa flan za kuflash tumbo,,,, utaharisha sana kila aina ya uchagu uliopo tumbon utatoka ! All the best, pia kula saba mapapai yaloiva vizuri
 
Ukifeli sana cheki na wamasai , wana dawa flan za kuflash tumbo,,,, utaharisha sana kila aina ya uchagu uliopo tumbon utatoka ! All the best, pia kula saba mapapai yaloiva vizuri
Nzurii sema unakesha chonii niliwahi kunywa nikasikia utumbo unatoka serkalkuu aisee nilipgopaa kha
 
Mungu akupe wepesi upone haraka fabyia kazi walichokushauri
 
Kama unaweza kutumia dawa za mimea/mitishamba sema unaweza kusaidika na ukapona kabisa hilo tatizo ila kama ni mfuasi wa kilokole unayeamini mimea ni ushirikina basi endelea na maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…