Nimeamua kukata tamaa na tatizo langu la kukosa choo

Kula matikiti ya kutosha ukichemka tengeneza juice ya ukwaju isiichakachue na maji mengi ukifeli nenda kwenye maduka ya dawa za kisunna Kuna kimbegu chaitwa habbat Mulku kiponde kunywa nusu saa nyingi tumbo litazibuka na utarudi kawaida ila ukila kimbegu hicho changanya na uji kidogo tahadhari usitoke baada ya kukitumia
 
🌳 FAIDA ZA MCHANGANYIKO WA ORGANIC APPLE CIDER VINEGAR NA ASALI MBICHI 🌳

⚡Inarekebisha Acid, Alkaline, na Body PH katika miili yetu.

⚡Inarekebisha mzunguko wa damu mwilini.

⚡Inaondoa mgando wa damu (blood clotting)

⚡Inaboresha Nguvu za Kiume

⚡Inatibu tatizo la tumbo kujaa gesi

⚡Inatibu tatizo la kukosa choo

⚡Inazuia na kutibu homa za mara kwa mara

⚡Inaboresha Kinga Mwilini.

⚡Inatibu tatizo la ugonjwa wa gaut na arthritis

⚡Ina control uzito wa mwili

☘Changanya asali mbichi robo lita na siki ya tufaha (organic apple cider vinegar) nusu lita,
Changanya mchanganyiko wako vizuri kabisa.
🌿MATUMIZI 🌿
👉Chukua vijiko vitatu vya mchanganyiko wako koroga kwenye maji kikombe kimoja kunywa,
Utafanya hivyo kutwa mara mbili.

Endapo huna tatizo lolote la kiafya unaweza kutumia ndani siku sabaa

Kwa wale wenye afya tete, watumie zaidi ya siku 30.

Hizo ni Faida chache za kutumia mchanganyiko huo!!!

CHIEF SANG'IDA
 
Kinachokuunguza si chakula bali mavi yamejaa yanakuunguza....kitafunguka tu ila balaa lake sasa
 
Kama bado unasumbuliwa na hilo tatizo ama mtu mwingine ikitokea amepatwa na hilo tatizo tafadhali jaribu kutafuta mbegu za mti flani unaitwa Mlonge (Mlongi) tafuna mbegu 3 na umeze, baada ya muda wa lisaa kama itafika chukua tena 3 tafuna kabisa na umeze. Hizo mbegu zinasaidia sana sana na haiwezi pita saa limoja haujapata choo. Kuna mafuta yake yanaitwa Castrol Oil (kama sijakosea) yapo kwenye maduka ya madawa ila ukipata mbegu zake ndio vizuri.

Binafsi nina ushuhuda, nilikosa choo kwa siku 21, ndio siku 21 ila hizo mbegu ndizo zimenisaidia ndani ya dakika 40 pekee nikapata choo.
 
Blade ulitaka kumaanisha bread?? Eti mkuu
 

Aloe Vera - chuma lile jani kunywa maji yake ikishindikana basi neda hospital lazima kuna ugonjwa.
 
Mgonjwa mwenyewe hajaleta mrejesho kwamba anaendeleaje au alitumia dawa gani akapona
 
Nunua ukwaju chemsha tengeneza juice nzito unywe inasaidia kupata choo.
 
Hospital umeenda mbalimbali na kufanya vipimo?
Umepima Thyroid function?
Body Metabolism yako huenda haiko vizuri.
Na ufumbuzi haupaswi kuwa wa aina moja , mwanzoni inabidi kufanya in multiples of solutions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…