Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

Nani kakuambia Mbet ni kweli wameidhamini Simba SC hiyo Tsh 26.1 Bilioni Mkuu? Endeleeni Kudanganyika tu Mambumbumbu FC Original sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.
Mkuu hata kama jersey Mpya hazijafika ndiyo tucheze Vifua Wazi Kweli? Wacha kutukosea WanaMsimbazi wenzio πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa huyo Manzoki wako Leo kabla Jua halijachwea atatambulishwa rasmi na tayari ameandaliwa Jersey namba 9
 
Hamia ''Airtel" tu..!! Kwani shingapi?
 
Siwezi kusema chochote hadi Simba day ipite, km Jersey haitakuwepo, hapo ndo ntatia maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hata kama jersey Mpya hazijafika ndiyo tucheze Vifua Wazi Kweli? Wacha kutukosea WanaMsimbazi wenzio πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa huyo Manzoki wako Leo kabla Jua halijachwea atatambulishwa rasmi na tayari ameandaliwa Jersey namba 9
Your browser is not able to display this video.
 
sio jukumu la Simba, ni la Vunjabei. Tatizo la watu wa humu wengi mnanakosa uelewa wa mambo hata ya kawaida tu, hata mikataba ya timu hauielewi lakini mnatoa comments na kuanzisha nyuzi
Kwa hiyo hata zikitoka mwakani ni sawa sababu,Simba haihusiki kabisa. Vip huyo M-Bet atakubali manake mkataba kaingia na nyie na si Vunjabei.

Ila kama ndio hivyo basi Simba upande wa mikataba mpo vizuri manake haumbani mtengenezaji wa jezi, anaji amilia atoe lini.
 
Ishu ipo hivi- ATC toka China inasombelea vifaa vya Sensa. Ndege aikutosha kupakia Jezi zote so zimekuja chache.
 
Ungekuwa mtuwa saikoloji ungeelewa nilichofanya

unajua Moto mkubwa unapiwaka msituni nini unapaswa kufanya?..ni kuwasha Moto mdogo ili uzime Moto mkubwa
Sijaona tusi lolote kwenye Uzi wa Genta, na Wala hajaanza kumtukana mtu zaidi ya kujibu mashambulizi ya walioanza kumtukana. Kwenye hili haujamtendea haki jamaa maana alichofanya Genta ni kujibu mashambulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…