Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

Kiukwel kuhusu swala la jezi wametukosea mashabiki wa simba.
Tumewazoesha .... WOTE ..Mimi. I pacha wako Yanga... Bundi anahamaga mtaaa tu ... Hakuna mwaka mitaa yote pametulia..... Tunaendaenda tu ....nikuulize VUNJABEI alipewa kandarasi(aliyoshinda msimu uliopita) ya muda Gani!!? Hakujua hitaji ... "Stockpile" yake ilikuwa na hali Gani..!! Yaani "Inventory" ..... Ye ni mfanyabishara mkubwa ...anajua Kuna Order Point, Stockpile,inventory ..Ili storage yake is deplete..... TATIZO TUNAFANYA KAZI KWA MAZOEA .. ngumu sana kutoka...
 
Mkuu Matola hata kama angewapa Briefcase company bado kwa nyakati hizi isingechukua muda mrefu kwasababu mambo mengi huwa yapo wazi.
 
Jezi zimeisha haya naona mnatengeneza room ya maumivu.
 
Utopolo hamnaga jema. Kutwa kucha kama wanga kushupalia ya wenzenu na kutia choncho kwa yasiyowahusu. Huo uwongo wako mimi naukanusha kwa kuwapa habari za kweli kwamba sababu ya jezi kuchelewa ni kuzirudisha kiwandani kubadilisha nembo ya mdhamini maana tangu mwanzo simba ilijua itamalizana na sportpesa na kuendelea kudhamini lakini ilipoonekana kuwa ameshindwa wakati jezi zilishachapwa. Ilibidi zibadilishwe na kuondolewa nembo ya sportpesa ili iwepo ya m-bet aliyekidhi viwango vya kuwa mdhamini mpya halali. Huyo mwongo mpuuzeni. Tutamfundisha ukweli tarehe 13 jumamos atulize mzuka wake atajua hajui.
 
Sijui sasa hivi una majibu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…