Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

Hii thread nimeipenda na nimekuwa nikifuatilia tangu mwaka jana.
Tafadhalilini (Malila, Ngongo...would appreciate your input),
Ningependa kununua biz-plan ya kilimo cha sehemu ya eka 250 hadi 500.
- Assuming nina shamba tayari.

  • Biz-plan must take into account irrigation, meaning I aim to harvest twice/3 times a year (drilled wells, approximity to water sources is the aim). So cost of laying out an irrigation network within the farm.
  • The biz-plan can be tailored to an area and what can be grown there and what the market is looking for (rotational farming for food crops & fruits); preferably Morogoro (Tuliani, Kilombero), Tanga, Pwani and Mwanza. Any other areas are ok, but access to markets is very important.
  • A combination or options for manual and machinery (tractor for farming) to be taken into account within the Biz-plan.

- Within the biz-plan, consider an option for cost of building a storage unit for atleast half of the farm products should the prices on the market be unfavourable at harvest time.

If one can offer this service, please PM me to discuss.
Shukrani.
 
Big up mkuu, hiyo ndo kazi pekee. Na napenda sana watu type yako. Make sisi watanzania tunapenda sana kazi za kuajiriwa tukiamini kwamba kazi za kilimo hufanywa na watu ambao hawajaenda shule.

Tuko pamoja
 
nimepata ekar sita huko pwan vp wakuu taratibu za kupima mashamba zinaendaje? Nataka baadae niwekeze minaz ya kutosha hapo.
 
nimepata ekar sita huko pwan vp wakuu taratibu za kupima mashamba zinaendaje? Nataka baadae niwekeze minaz ya kutosha hapo.

Binafsi nilimpata mtu anafanya michakato wa kupima, yupo Wizara ya Ardhi ukiweza ni PM nitakupa Namba yake
 

kaka unauzoef au ndo unaanza?
unategemea mvua za Mungu au umwagiliaji? manake sina uhakika na hali ya mvua za huko, manake kwa kilimo cha kibongo mvua zimekua tatizosana asee!
 
elnino naona aliingia mitini, kagoma kutoa update ya wapi alifikia,. au tayari umeshakuwa milionare nini mkubwa.
 
mimi pia napenda kulima just give me guidance nitafutie namimi eneo nije mimi nimechoka kupokea mil moja kila siku kama take home. naweza kupata eneo nami nibadilishe maisha yangu napenda kulima sana na napenda kuwa mkulima mkubwa plse nisaidie. mimi hata 5 days a month naweza kukaa shamba nataka kutoka
 

Karibu sana ktk ulimwengu wa wakulima.
 

duh.... you are well off ..... nakushauri usitafute shamba kama unapata one million everyday =1M x 25days = 25 Millions per month
 
elnino
hongera. naomba na mimi nisaidie nipate mashamba napenda sana kulima niko serious na ninataka kuanza soon hata 50 eka plse help

kinjekitileh
 

Mkuu tunaomba tuambie maendeleo..wengine tumeamua kurudisha majeshi muda si mrefu ndani ya miezi..Nataka nipigane kwenye maeneo hayo..tunaomba changamoto yako..
 
elnino
hongera. naomba na mimi nisaidie nipate mashamba napenda sana kulima niko serious na ninataka kuanza soon hata 50 eka plse help

kinjekitileh

Kiteto kuna mashamba mengi sana ktk mbuga zile, tatizo kule mvua zinazingua, mito ya maji hakuna. Kama unaweza nenda Kilindi,ila mvua ikinyesha barabara hazipitiki kabisa, pia angalia, kilindi sehemu kubwa ilishanunuliwa na fisadis,unaweza kuuziwa shamba la mtu.

Unataka kuanza kulima nini mkuu?
 
Kaka mpango wako ni mzuri cha msingi kuwa makini sana na kuifuatilia ndoto yako ufikie lengo na si vinginevyo bro saafi...
 

Nzokanhyilu...............ulipata response kwenye hii? can I offer to share the cost? I too need this
 
Great Thought great Action,wasiwasi wangu ni hiyo bei tu ya gunia la mahindi mbona mimi najua bei ni kati ya 20,000 to 30,000? Hiyo ya 60,000 kaka unaitolea wapi tena?

Hapa Dodoma tayari beini 50,000.....................kwa mujibu wa taarifa za jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…