Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie kwa kutumia umwagiliaji furrow irrigation.usikirupuke ndugu utatumia umwahiliaji au annual rain? ukinijib hapo nitakushaur kitu tuko pamoja pia mtaji umekopa au vp

Thanks FristLady1 kwa moyo wako wa kutaka ushirika - kazi ni ngumu kidogo lazima u dedicate at least 4 days kila mwezi kwenda site kufanya physical monitoring. kule ni camp bado kwa hiyo utahitaji kwenda na Maji ya kunywa for those days, safari bed na vitu vingine personal.
Chakula ni Local food, hakuna umeme, maji ya kuoga ni ya kisima (local), rafiki zako kwa those 4 days ni ndege - its real camping life - ni kama vile Maisha plus
Niko sambamba na Heradias,
Mfinyanzi ni udongo wenye rutuba kuliko aina zote za udongo.
Lakini unachangamoto kuu mbili
1-Mfinyazi kama kutatokea kukosekana kwa mvua yaani mvua kua uhaba,mfinyanzi unakua mgumu mno kiasi ambacho huathiri mazao.
2-Mfinyanzi kukitokea mvua nyingi nao unatabia yakutokupenyeza manyi kwenda aridhini kwa haraka hivyo kutuamisha maji jambo ambalo mahindi na maharage huathirika.
Hivyo mfinyanzi huhitaji mvua za wastani ili mazao yamee vizur
Hapo siwezi kupasemea kwani panahitaji vipimo lakini labda nitaeleza kwa namna ambavyo nimetizama mitiki mingi nilioiona imepandwa kwenye udongo mfinyanzi kanda ya pwani.Je Unafaa kupanda miti kama tiki,graveria, please
Asante sana. Na kweli pwani mitiki inakua kwa shida. Tanga hapa ni vile vile haina afya. Nashukuru sana. UbarikiweHapo siwezi kupasemea kwani panahitaji vipimo lakini labda nitaeleza kwa namna ambavyo nimetizama mitiki mingi nilioiona imepandwa kwenye udongo mfinyanzi kanda ya pwani.
Kimsingi nimeona ikikua kwa shida sana.Ila nafikiri tatizo hapa si udongo ila ni hali ya hewa.Tizama iringa ndio mkoa unaozalisha miti ya mbao kwa wingi.Hali ya hewa ya iringa ni ya baridi sana,hivyo nafikiri hali ya hewa pia ni jambo la msingi sana kwenye umeaji wa miti.
Hivyo nafikiri mfinyanzi si tatizo kwa matiki nahisi huenda hali ya hewa.
Mwisho ningeshaur kama unaweza kufika kwa wataalum wa agriculture kama chuo cha SUA ama pale ambapo papo karibu nawe.
Mrejesho wadau.kama mnataka mali mtaipata shambani asanteni hizi ajira zinatuumiza sana