Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 310
- 1,100
Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam.
Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa maana nitakuwa juu na atanisikiliza.
Kabla ya hapo alipiga X- Ray mke wa mwanzo aliekimbia na vitu na kuniacha na muhaho, acount yake ilikuwa juu mno, kiukweli alinizidi kwa kila kitu nikashindwa kummudu maana hakuwa saizi yangu.
Shida ilikuwa jinsi ya kuvunja account zetu mimi na my ex wife sababu ndoa hufanya nafsi iwe moja, ili ujitenge na upepo mbaya lazima account zetu zivunjwe na hawa viumbe kiukweli 90% mkitengana lazima akupige vikombola either kwa mganga au midomo yao ili tu uwendelee kuteseka.
Nitaendelea kuwajulisha 😊, bado nipo kwenye process za kuvunja account me and my ex wife, mambo ni mengi.
Nilichokishika na tunachokosea sisi vijana kwa maelezo ya yule mzee wa busara,💯 vijana tunaingia kwenye ndoa bila kuchunguzana (kupiga X ray koo zao) ndio maana wazee wa zamani walifaulu 80% maana walijua umuhimu wa kuchunguza familia na mke utakae kwenda kumuweka ndani.
Mbaya zaidi wanawake wanatuzidi ujanja kwenye suala la X ray, ila sisi wanaume uzungu na usomi unatuponza.
Msikatae ndoa jamani tafuta msichana aliyechini yako, usikimbilie mtu usiemuweza na aliekuzidi account utaishia kuja kupiga makelele humu; sijui mke jeuri, sijui hivi, mara kataa ndoa, sijui ndoa utapeli.