Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Ktk hizo harakati hujakutana na waliokataa kuachika na kuamua kukutunuku?Mmi nikitaka kuachwa na demu namuomba ndogo, lazima aje juu kama ngiri aliyejeruhiwa, alafu mchezo ndiyo umeisha.
Nyinyi mko penzini
Ndiyo ukubwa huoDah siku utayakanyaga hutaamini[emoji16][emoji16],,,niliwahi kuyakanyaga nikala nduki balaa kibao kikageuka kua siwezi date na anayetoa ndogo wakati niliomba ili nipigwe chini nikaishia kuambulia mitusi ya maana.
Uliomba akakubali kukupa halafu ukaisusa?Dah siku utayakanyaga hutaamini[emoji16][emoji16],,,niliwahi kuyakanyaga nikala nduki balaa kibao kikageuka kua siwezi date na anayetoa ndogo wakati niliomba ili nipigwe chini nikaishia kuambulia mitusi ya maana.
Sasa mbususu nayo ni kitu ya kumyima mwanaume....ebu wacheni ufaller
KAshaliwa huyo anawapotezea tu muda mjinga huyu
Kwenda rough road yenye matope inataka ujasiriKtk hizo harakati hujakutana na waliokataa kuachika na kuamua kukutunuku?
Kwani mume tuu ndio anapewa mbususu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio, kwani mkewe?!!
Kumbe ndivyo wanavyolika....aise kumbe mademu wakibingo wepesi sana kugawa mbususu.....ndio maana wanatuambukiza hiv hawa wapuuzi.Wanawake wa kibongo hampendi kuwekwa ktk friendzone?
Ila ni wanawake wachache tu ambao wanaweza kuudumisha urafiki bila ya kutoa mbususu ila 95% watatoa tu.
Yaani umchukue demu wa ofisini kirafiki tu halafu labda weekend umpeleke beach , m-spend the whole day drinking ,eating and having fun...mrudi home mcheki movies ,halafu uwe ile close kumjulia hali n.k halafu asikutunuku?
nyie mnapendana hebu nyanduaneniWakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.
Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].
Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.
Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]
Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.
Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.
Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Hivi hakuna mwamba aliyefanikiwa kula wasudan kimasihara?Kumbe ndivyo wanavyolika....aise kumbe mademu wakibingo wepesi sana kugawa mbususu.....ndio maana wanatuambukiza hiv hawa wapuuzi.
Ila mbususu zao tamu kuliko za wasudan.
Tena yeye ndio anayatafuta.Ameliwa ki side chick halaf ana test mitambo ya string -attchment anakuta ile ilikua just kumegana tu nothing of interest..Anapagawaaa analeta uzi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ajiandae kwa maumivu yasiyoisha
Yeah nia ilikua tuachane ila kumbe alikua mdau.Uliomba akakubali kukupa halafu ukaisusa?
Instead of going directly kuomba mbususu try dat alternative way..95% utawala bila hata ya kuomba mzigo.Yaani wanakutunuku tu kimasiharaKumbe ndivyo wanavyolika....aise kumbe mademu wakibingo wepesi sana kugawa mbususu.....ndio maana wanatuambukiza hiv hawa wapuuzi.
Ila mbususu zao tamu kuliko za wasudan.
Wewe mpe hicho kitumbua acha kutusumbuaWakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.
Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].
Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.
Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]
Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.
Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.
Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Commet ina uzoefu ndani yake.Hujakosea 😀😀
Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo
Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.
Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa
In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa
Ila polee😉