Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Dah siku utayakanyaga hutaamini[emoji16][emoji16],,,niliwahi kuyakanyaga nikala nduki balaa kibao kikageuka kua siwezi date na anayetoa ndogo wakati niliomba ili nipigwe chini nikaishia kuambulia mitusi ya maana.
Ndiyo ukubwa huo
 
Uliomba akakubali kukupa halafu ukaisusa?
 
Wanawake wa kibongo hampendi kuwekwa ktk friendzone?

Ila ni wanawake wachache tu ambao wanaweza kuudumisha urafiki bila ya kutoa mbususu ila 95% watatoa tu.

Yaani umchukue demu wa ofisini kirafiki tu halafu labda weekend umpeleke beach , m-spend the whole day drinking ,eating and having fun...mrudi home mcheki movies ,halafu uwe ile close kumjulia hali n.k halafu asikutunuku?
 
Kumbe ndivyo wanavyolika....aise kumbe mademu wakibingo wepesi sana kugawa mbususu.....ndio maana wanatuambukiza hiv hawa wapuuzi.
Ila mbususu zao tamu kuliko za wasudan.
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
nyie mnapendana hebu nyanduaneni
 
Friendzone kwa mwanamke ni psychological torture. Anakuwa kama haamini why you are treating her so lovely yet you don't ask her nyauu.

Mwanamke anaamini ukiwa close nae kiurafiki ni lazima muingie kwenye mahusiano tu ila anakuta mchizi huna pigo hizo ila pia inahitaji moyo kwa mwanaume shababi kudumu ktk friendzone.

Ndio maana kina wema sepetu wakaamua kuwa na watu kama kina Martin kadinda na dk kumbuka cuz hawana madhara yoyote kibaiolojia ila kwa rijali ni ngumu sana lazima utapeleka fireeeeee!!!
 
Kumbe ndivyo wanavyolika....aise kumbe mademu wakibingo wepesi sana kugawa mbususu.....ndio maana wanatuambukiza hiv hawa wapuuzi.
Ila mbususu zao tamu kuliko za wasudan.
Instead of going directly kuomba mbususu try dat alternative way..95% utawala bila hata ya kuomba mzigo.Yaani wanakutunuku tu kimasihara
 
Ila long distance marriages ni hatari sana. Wewe upi Bukoba halafu mwanamke umemuacha mbeya huko anapiga kazi!! Kuonana mara moja kwa miezi miwili!! Lazima tu wadau wafanye yao.Wanawake kuna vipindi ktk mwezi huwa mnakuwa na nyege sana kiasi mdau akijitokeza kubeep tu anakuta imooooo
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi. Basi leo tukachuniana tangu asubuhi, jioni hii nikamwambia I miss you, akaajibu thanx madam[emoji849].

Eeh pozi likaniishia nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo, nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayari nishamiss, najua na yeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu, Je nimekosea kumpotezea huyu rafiki yangu?
Wewe mpe hicho kitumbua acha kutusumbua
 
Hujakosea 😀😀

Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo

Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.

Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa

In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa

Ila polee😉
Commet ina uzoefu ndani yake.
 
Back
Top Bottom