Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu nahisi huitakii mema ndoa yako🤔,
👉👉 yaani una taka tema Jojo kwa karanga za kuonjeshwa🤔
👉👉 yaani una taka tema Jojo kwa karanga za kuonjeshwa🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa umeleta Uzi wa niniWakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara Pika nije kula na kudekezana.
Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi basi Leo tukachuniana tangu asubuh, jion hii nikamwambia I miss you.. akaajibu thanx madam[emoji849] eeh pozi likaniisha nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.
Jibu alilonipa Sasa Good luck [emoji3]
Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.
Sasa hivi nimekaa hapa tayar nshamiss najua nayeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.
Wakuu je ninekosea kumpotezea huyu rafiki yangu.
🤣 🤣 🤣 🤣Ila nayeye atakua kaumia mkuu, hembu nitie moyo bas[emoji3]
N A K A Z I A [emoji419]Kumshauri mwanaume mwenzio anayejifanya demu nayo ni ngumu,!![emoji17][emoji848]
Na atamkula hakikaHujakosea 😀😀
Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo
Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.
Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa
In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa
Ila polee😉
Jamaa yupo sahihi. Unajitia mjuaji kutaka kuumiza hisia za mtu ambae ana machaguo zaidi yako mwisho wa siku umeishia kujiumizaWakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara Pika nije kula na kudekezana.
Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi basi Leo tukachuniana tangu asubuh, jion hii nikamwambia I miss you.. akaajibu thanx madam[emoji849] eeh pozi likaniisha nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.
Jibu alilonipa Sasa Good luck [emoji3]
Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.
Sasa hivi nimekaa hapa tayar nshamiss najua nayeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.
Wakuu je ninekosea kumpotezea huyu rafiki yangu.
NAKAZIA TENAN A K A Z I A [emoji419]
AhahahahY nyie wanawake mnaona kugegedana ni kana kwamba umeliwa? Ahh muacha e na hiyo dhana potofu
Naona tafiti za kiintelijensia zimekamilika tayari 😂😂😂😂Kumshauri mwanaume mwenzio anayejifanya demu nayo ni ngumu,!![emoji17][emoji848]