Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara Pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi basi Leo tukachuniana tangu asubuh, jion hii nikamwambia I miss you.. akaajibu thanx madam[emoji849] eeh pozi likaniisha nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa Sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayar nshamiss najua nayeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu je ninekosea kumpotezea huyu rafiki yangu.
Sasa umeleta Uzi wa nini
 
Kisa chako kinanikumbusha namna nilivyompa taabu dada mmoja hivi.Ilikuwa hivi;

Nilikutana naye na tukajenga mazoea kiduchu kisha nikamtoa out tukapiga pombe na nyama na kuhama ukumbi siku nzima alivyolewa na ile kushikana shikana nikagundua yuko period.

Nikamchukua na bolt mpka kwake na kumlaza na kufunga mlango kisha ufunguo nikamtupia ndani na mimi nikageuka na bolt mpka kwangu.

Asubuhi akanicall na asante za hapa na pale na mimi nikamwambia kuwa umeniacha na nyege ukikaa vzuri naomba Papa hiyo niichakate.

Akaanza zile oooh ntakupa siku 1, sijui subiri usiwe na haraka, na ukizingatia ni mdada wa nguvu jeupe zuri na mikalio ya kufa mtu na zile kutongozwa kila apitapo sijui zilimpa kiburi akajiona prngine kila mwanaume atabaki anamlilia kila siku.

Nilivyoona mzigo hataki kutoa anarukaruka mimi nikapiga kimya,Futa namba na maisha yanaendeleaa,Yule dada ilikuumiza sana kwamba y mwamba nimempotezea ghafla na sina time naye,Siku 1 akanitumia sms ndeefu kuwa sijui najiona keki sijui kwanini nimpotezeee wakati ingetakiwa nisubiri siku yyte angenipa TUNDa.

Sikujibu ila baada ya siku 2 nikampigia kutumia namba ile aliyonitext na kumwambia jioni tuonane sehemu x,Akaja pombe na nyama akalewa kushikana shikana nikaona hayuko period, Nikampeleka lodge nikamchakata, asubuhi game ikarudiwa.

BAADA YA HAPO NILIMBLOCK MAZIMA NA SIKUTAKA MAWASILIANO KABISAAAAAA.

ANANIONA MHUNI KWAMBA WANAUME WENGINE WANAMLILIA NA KUMHONGA PESA NDEFU HALAFU MIMI SINA TIME NAYE.

WANAWAKE JIFUNZENI KUWA KUNA WANAUME HAPA DUNIANI BADO WANA MISIMAMO YA KIUME JAPO WACHACHE KAMA HUYO MWAMBA HAPO JUU
 
huyu jamaa anakupenda sema sasa kuna kitu anashindwa kwako kulingana na wewe ulivo, anakuona tofauti he saw you has Mrs right, siyo confident man.
 
Hujakosea 😀😀

Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo

Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano.

Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa

In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa

Ila polee😉
Na atamkula hakika
 
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara Pika nije kula na kudekezana.

Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano na mtu mwenyewe jamaa anaonekana ana mambo mengi basi Leo tukachuniana tangu asubuh, jion hii nikamwambia I miss you.. akaajibu thanx madam[emoji849] eeh pozi likaniisha nikasema any way acha nimchane, nikamwambia naomba urafiki wetu uishie na maneno mazuri mazuri ya kumtia moyo nikajaza paragraph mwisho nikamwambia ntakumiss bye.

Jibu alilonipa Sasa Good luck [emoji3]

Mimi kuona hivyo nikamtia block na kufuta namba zake juu.

Sasa hivi nimekaa hapa tayar nshamiss najua nayeye pia atakua kanimiss lakini najua ujeuri wa wanaume anaweza akamute kimya.

Wakuu je ninekosea kumpotezea huyu rafiki yangu.
Jamaa yupo sahihi. Unajitia mjuaji kutaka kuumiza hisia za mtu ambae ana machaguo zaidi yako mwisho wa siku umeishia kujiumiza
 
Y nyie wanawake mnaona kugegedana ni kana kwamba umeliwa? Ahh muacha e na hiyo dhana potofu
Ahahahah
Umeona mkuu. Wanawake wana mindset flan selfish sana.
Yaani mkitiana wao ndio wanaona kama wametumika wakati nyote mmetumiana.
No wonder wanataka walipwe pia wakat ilibid kama vip mlipane!

Yaani wao wanaona kama ndio wanatoa huduma wakat na wewe unashiriki kuhudumu😂😂😂 hawa viumbe shida!!!
 
Back
Top Bottom