YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Ndoa haitamshinda kwan mumewe si hajui au?
Atajua sababu bi dada anawashwa na huyo rafiki ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Penzi lote ataliamishia kwa mcheps, na hivi wanaume wanapenda kuishi na wake zao kwa mazoea, lazima moto uwake