Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

Ndoa haitamshinda kwan mumewe si hajui au?

Atajua sababu bi dada anawashwa na huyo rafiki ake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Penzi lote ataliamishia kwa mcheps, na hivi wanaume wanapenda kuishi na wake zao kwa mazoea, lazima moto uwake
 
Huyo jamaa atakua ni pacha wangu maana tunafanana tabia

mimi mpaka nione text ya "you like being chased" ndio nakuweka kwenye radar

"once you catch feeling then you're finished"
Screenshot_20230621_103846.jpg
 
Back
Top Bottom