Nimeamua kumuacha mke wangu……………..!

Nimeamua kumuacha mke wangu……………..!

Heshima yako baba,
Dah hiyo heading imenistua nikampigia mama kabla sijasoma akawa hapokei na uzi ukawa umeshafunguka lol!
Sijui ingekuwaje kwa nilichokuwa nimepanga kumuuliza,
Poa tunamtakia mama safari njema,na mungu ampeleke salama na amrudishe salama.
Ukisikia umbeya ndio huo, sasa ulimpigia ili iweje.............LOL
wakati mwingine usijaji nazi kwa kuigonga... ko ko ko ko..........ipasue ndio utajua kama ni mbata au koroma.
 
Sometimes hua nikiwa time not enough as well, hua naishia kusoma headin' za thread mpaka nikutane na headin' sisimuzi ndiyo na'click !
Headin' yako ikawa imenisisimua naangalia username ni popular then senior ! Nikajiuliza hili jina mbona haliendani na nilichokiona kwenye headin' ? All above mzaha-mzaha wa hivyo sijaupendelea sana hasa kwa my wako wa kushtuza sijaupenda. Ht hivyo namtakia heri ya safari.
 
Khaaa..............yaani we Babu umesababisha mshale wa kumoyo ugande ghafla ndo nini kuanza na heading ya ukanjanja. Nilishaanza kulia nani atanipikia uji. Namtakia Mama Ngano safari njema.
 
Ukisikia umbeya ndio huo, sasa ulimpigia ili iweje.............LOL
wakati mwingine usijaji nazi kwa kuigonga... ko ko ko ko..........ipasue ndio utajua kama ni mbata au koroma.
Umbea muhimu kwa mtoto wa kike kusutwa suna,
:focus:

Tatizo umekuwa mtata sana siku hizo baba yetu,
Sijui ni huyo glady anasababisha haya,
Najua kwa safari hii ya mama,huna ujanja lzm utaongea nasi kwa hisan ya watu wa.........!!!
Labda usituage unaunganisha na shifti ya usiku!!!
Ol
 
kichwa cha habari kimenishtua nikajua ile chabo amechukua jumla
namtakia safari njema mama Ngina
 
Khaaa..............yaani we Babu umesababisha mshale wa kumoyo ugande ghafla ndo nini kuanza na heading ya ukanjanja. Nilishaanza kulia nani atanipikia uji. Namtakia Mama Ngano safari njema.
Kwani kumuacha mke asafiri kuna tatizo gani? mnatafsiri kiswahili vibaya
 
Umbea muhimu kwa mtoto wa kike kusutwa suna,
:focus:

Tatizo umekuwa mtata sana siku hizo baba yetu,
Sijui ni huyo glady anasababisha haya,
Najua kwa safari hii ya mama,huna ujanja lzm utaongea nasi kwa hisan ya watu wa.........!!!
Labda usituage unaunganisha na shifti ya usiku!!!
Ol

Ushaanza hivyo, na ninajua hata yule mwingine atakuja na mauzauza yake..................Unamjua sana tu!
 
kichwa cha habari kimenishtua nikajua ile chabo amechukua jumla
namtakia safari njema mama Ngina
Jamani mbona mnamtaja taja dada wa watu wa chabo..........siku hizi tunaheshimiana ingawa niliona naniliu yake mwaka 2000
 
ha ha ha....mkuu mtambuzi nilishtushwa sana na kichwa cha habari hii...baada ya kusoma kwa umakini sana mstari kwa mstari na nilipofikia mwisho mshtuko ulitokomea kwa kicheko hasa nilyasoma majina ya wanao..kwanza pole kwa ajili na pili namtakia mama ngina safari njema. next time mkuu punguza ukali wa vichwa vya habari...
 
Na ni hicho kichwa cha habari ndicho kilichokufanya usome..................ha ha ha haaaaaaa. Lakini kwani kuna tatizo gani mtu kumuacha mkewe asafiri? au nyie mlielewaje?
 
hahhaaaaaaa mama ngina hawezi kuleta balaa wakati wewe ni mgonjwa, unahitaji uangalizi.......

Wakati naumwa nilipewa likizo ya naniliu ya miezi mitatu ili nipone, sasa likizo imeisha na yeye anataka kusafiri, hivi kweli katika mazingira kama hayo, unaweza kweli kufurahi...............! Kusema kweli nilikuwa nahitaji uangalizi wake wa karibu sana tena sana maana miezi mitatu sio mchezo.
 
Umeshindwa hata kusema safari njema kwa mama Ngina..............!
Unajua kwa sababu gani?kaka kichwa cha habari kingine na maneno ya ndani mengine ngoja nikanywe kahawa narudi kumsindikizi kabisa,Mx
 
Back
Top Bottom