Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,421
- Thread starter
- #21
Ukisikia umbeya ndio huo, sasa ulimpigia ili iweje.............LOLHeshima yako baba,
Dah hiyo heading imenistua nikampigia mama kabla sijasoma akawa hapokei na uzi ukawa umeshafunguka lol!
Sijui ingekuwaje kwa nilichokuwa nimepanga kumuuliza,
Poa tunamtakia mama safari njema,na mungu ampeleke salama na amrudishe salama.
wakati mwingine usijaji nazi kwa kuigonga... ko ko ko ko..........ipasue ndio utajua kama ni mbata au koroma.