Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume utamwambiaje mwanamke tuachane ?Mjinga sana sio Mara moja au mbili na nikamwambia basi tuachane atajiliza siku nzima
Nimtumzima kwa umri wa 23 nikwa wazungu kwa kwetu Africa bado mtoto anategemea wazazSijamjua Jana Mkuu, ni miaka saba sasa ni mtu mzima sasa age ya 23 kama bado hajajua kipi ni kizuri kipi ni kibaya basi ni ujinga anafanya.
Utakua ni kweli unachoongea Mkuu, lakini Niko busy sana mda wa kuongea hivyo unavyosema haupo kabisa kwa upande wangu, Mimi nilishajipambanua kwake kwamba atakua mwanamke wa ndoto zangu nimeshacheza kete zangu but naona yeye kashindwa kucheza kete zake na tumekaa miaka mingi mpaka kwao najulikana.Nyie ndio wale huko na mapenzi ya kuongea na simu hadi inachemka kama pasi. Kifupi ni kwamba nyote bado hajafika uelewa wa kua wapenzi tena wenye mlengo wa kuoana
Mkuu nimemaliza chuo mwana juzi probably bado najitafuta na maisha bado sijasettle vizuri nitamuwekaje karibu yangu Mkuu?Umeishi nae miaka 7, ulikua na mpango wa kumuoa.
Kwann ukufanya juhudi zozote za kuanza kuish karibu nae uone Kama atabadilika izo tabia zake au lah[emoji848]
Yes ni mtoto but nkuulize ulipokua na age ya 23 huyo uliokua nae kipindi hicho ndio amekuoa?
Utakua ni kweli unachoongea Mkuu, lakini Niko busy sana mda wa kuongea hivyo unavyosema haupo kabisa kwa upande wangu, Mimi nilishajipambanua kwake kwamba atakua mwanamke wa ndoto zangu nimeshacheza kete zangu but naona yeye kashindwa kucheza kete zake na tumekaa miaka mingi mpaka kwao najulikana.
Bado ajakua akili.....subil akueWakuu nitakua nakosea?.
Ni binti niliekutana nae zamani kidogo tokea nasoma form four nilimuacha madarasa mawili nyuma, tulikua marafiki tu ni mtu ambae tumedumu nae kama rafiki na mpenzi kwa miaka mingi sana, katika mihangaiko yote ya maisha ya shule, chuo na kitaa Niko nae mpaka Leo.
Kwanini nataka kumuacha?.
Mwaka jana baada ya kumaliza chuo huku yeye akiwa kitaa tu nilimpa mimba sikupinga nikamwambia as long as Mimi ni mwanaume nitapambana (nilipata sehemu ya kujishikiza), na pia ni mwanamke wa ndoto zangu so asitoe mimba nitalea na nitamuoa but mama ake akaitoa(kuna mambo mengi yalitokea hapa), ilo jambo lilinipa wakati mgumu sana but nikasamehe baada ya yeye kujiliza sana.
Mda umepita kidogo naona amebadilika kiasi, ninachomwambia afanye anisikii tena nikimwambia yaishe afanye maisha yake anajilizaa sana,imekua kama mchezo nikimwambia tuachane anajiliza but makosa anafanya mengi ya hovyo yanayojirudia. Anapenda kupost wanaume akidai ni marafiki zake (marafiki ya konyo[emoji16][emoji16]).....nilishamkataza habari za hao anaowaita marafiki maana "hakuna rafiki wa kiume kwa mwanamke asiyewaza kumla kimasihara" atajifanya rafiki mwisho wake ataliwa tu but amekua mzito kusikia.
Nimeweka standard zangu nikimwambia ajiweke karibu na Mungu anielewi anapenda sana mambo ya mitandao haswa kupost upuuzi usiokua na maana (sababu ya umri wake labda).
Nimerudi mjini sababu ya ubusy wangu wa kutafuta maisha nikamwambia tuonane (sio kufanya mapenzi) maana hapo kabla alikua analalamika sina mda nae tukakubaliana mda wa kumuona nimetoka zangu mbezi mpaka gongo la mboto namsubiria weeee anadai amepata dharula yuko Mwenge.
Nb..
Nimeona kama nafuga ujinga tu then kukaa na mpenzi miaka mingi isiwe guarantee ya kusema lazima muoane akibadilika ni vyema kujiondoa tu kuepusha vingi.
Huu mda nawekeza zaidi kutafuta maisha pia ushauri never trust a women akibadilika achana nae regardless mmekaa miaka buku.