Nimeamua kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa Miaka 7

Ujatwambia mpenz wako ana umri gani, wewe pia una umri gani.

Nadhan tungeanzia Apo Kwanza mkuu[emoji4]
 
Sijamjua Jana Mkuu, ni miaka saba sasa ni mtu mzima sasa age ya 23 kama bado hajajua kipi ni kizuri kipi ni kibaya basi ni ujinga anafanya.
Nimtumzima kwa umri wa 23 nikwa wazungu kwa kwetu Africa bado mtoto anategemea wazaz
 
Swali la ovyo ila Ni muhimu.
Uyo mtu wako Kwanza kitandani performance yake ikoje?

Mtamu, wa kawaida au, mtamu sana?

Ukinijibu ntakwambia kwann nmekuuliza[emoji4]
 
Mke ni tabia; ila kama ni kwa ajili ya starehe tu angalia shepu, chura, na sura
 
Hiyo yakuwa.karibu na wanaume akidai ni marafiki tu ogopa sana tena kimbia kabisa. Huyo tayari ashakuwa na mambo mengi.
 
Nyie ndio wale huko na mapenzi ya kuongea na simu hadi inachemka kama pasi. Kifupi ni kwamba nyote bado hajafika uelewa wa kua wapenzi tena wenye mlengo wa kuoana
Utakua ni kweli unachoongea Mkuu, lakini Niko busy sana mda wa kuongea hivyo unavyosema haupo kabisa kwa upande wangu, Mimi nilishajipambanua kwake kwamba atakua mwanamke wa ndoto zangu nimeshacheza kete zangu but naona yeye kashindwa kucheza kete zake na tumekaa miaka mingi mpaka kwao najulikana.
 
Umeishi nae miaka 7, ulikua na mpango wa kumuoa.
Kwann ukufanya juhudi zozote za kuanza kuish karibu nae uone Kama atabadilika izo tabia zake au lah[emoji848]
Mkuu nimemaliza chuo mwana juzi probably bado najitafuta na maisha bado sijasettle vizuri nitamuwekaje karibu yangu Mkuu?
 

Jijenge ndoto haziwezi kua vile unataka
 
Bado ajakua akili.....subil akue

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hata hivyo umemtafuna mnoo,ni halali kumchoka maana ni hadi mmekuwa wazazi wa marehemu huenda saivi mngekuwa na wajukuu.Mwache moyo wako usuuzike.
 
Miaka 7 urafiki mbaachana unakuja kulia humu? Mambo ya chuo bado yamo kichuanie? Watu tumeachana baada ya kuwa na watoto 3 miaka 18 tumeishi na tunatulia tu tukikumbuka kuwa Samsoni nae alipotezwa tu na Delila kirahisi wakati alikuwa Mnadhiri wa Mungu.
 
Alikua anawapost hao wanaume anaandikaje? Kwel wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…