Nimeamua kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa Miaka 7

Alikua anawapost hao wanaume anaandikaje? Kwel wajinga ndio waliwao
Wanaume wanacheza cheza huku nyuma kuna background ya mziki..ile watoto/vijana wanajirecord, anadai ni shemeji yake (namjua)
 
Nimeona kama nafuga ujinga tu then kukaa na mpenzi miaka mingi isiwe guarantee ya kusema lazima muoane akibadilika ni vyema kujiondoa tu kuepusha vingi.
Point ya msingi sana mkuu, move on.
 
Kwa sasa hivi mkuu, zingatia mapambano yako ya kutafuta mkate. Katika umri ulionao hiyo ndiyo hoja ya msingi zaidi nayoweza kukwambia.

Na unatakiwa utambue maisha hayawezi kuwa vile unavyotaka kwa 100%. Kwa hiyo hata usipomuoa huyo atleast utakuwa busy kujijenga kimaisha. Na kuachana naye inaweza kuwa ni kitu bora zaidi kilichoweza kutokea katika maisha yako ya ujana.

Huyo mwanamke ameshajua unampenda na ameshajua akicheza vipi na akili yako unamsamehe, mwache aende akajifunze maisha kwingine. Kama angekuwa anakupenda angeweka muda kwa ajili yako na angekuheshimu.

Kila la heri brother.
 
Inaonekana pia Mama yake hajayabariki mahusiano yenu kwa sababu kutoa mimba ni kosa kubwa sana, na kama mzazi angeweza kumpa moyo binti yake ailee mimba na siyo kuitoa.
 
Mkuu .. kwa mfano ukiendelea nae unakuwa umezungurukwa na wauaji kama wameweza kuua kichanga tena mbaya zaidi kilichopo tumboni.. nakuhaidi utakuja kutu hadithia hapa wamekuua yeye na mama yake.. alafu uje kulalamika hapa wakisha kufanyia mbaya
 
IMO mkuu binti wa miaka 23 ana akili ndogo, bado anahisi ana chances za kutosha. Temana nae.
23 - 7 = 16
Duh!
Una umri gani mkuu?
Umekoswa koswa na mvua 30 ww!
Kumbe ndo sabb mama'ake aliingilia kati ku abort.
Kumbe utoto tuu!
 
23 - 7 = 16
Duh!
Una umri gani mkuu?
Umekoswa koswa na mvua 30 ww!
Kumbe ndo sabb mama'ake aliingilia kati ku abort.
Kumbe utoto tuu!
Elewa vizuri, Ali abort mwaka Jana akiwa na age ya 22 pia nimejuana nae since tunasoma secondary sio alikua mpenzi wangu miaka hiyo.
 
Unawekeza kutafuta maisha??? Kwani yameenda wapi !? Hayo ulionayo Sasa ni maisha pia , katika historia yako ya maisha utakayoishi , na ya Sasa ni sehemu pia ya maisha yako kaka ! Nakutakia maamuzi mema ! [emoji2][emoji16]
 
Elewa vizuri, Ali abort mwaka Jana akiwa na age ya 22 pia nimejuana nae since tunasoma secondary sio alikua mpenzi wangu miaka hiyo.
Tatizo mkuu mbishi, umekuja kupokea ushauri au kubishana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…