Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kwa kujua kua AI ya deepseek ni ya china ! Nimeiuliza swali au historia ambayo china huwa hawaipendi.
Lengo ni kuona jinsi technologia yako inavoweza kukufadhiri au kukufichia aibu muhusika.
Conclusion:
Kweli bana ,Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
Ingekua ni app ya marekani wangepondea kama sehemu ya kuichafua nchi nyingine au kukuza uovu.
USHAURI:
Nchi zijitahidi kwenda na kasi ya dunia inasaidia sana kubrand na kupambana na vita ya habari