Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
Hiyo itakujibu haiko sencered na china!!Jaribu ChatGPT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo itakujibu haiko sencered na china!!Jaribu ChatGPT
Haitaki matatizoAI inajaribu kukwepa swali la msingi
Kila kitu kinakusanya taarifa zako hata simu yako hata jf kuna taarifa wanachukua!Hivyo imeshatoka?
Haya Ma AI hayana akili hivyo, yako Biased.
Siezi weka hizo vitu musimu yangu, iwe imetoka Amerika, Ulaya, ama Uchina.
Wote wanakusanya Data zako. Mbaya zaidi wale wa Amerika banatajirika kuuza Data zako.
Ni nani wakusema watu ya Intelligence ya Amerika hawafanyi kukusanya taarifa zako? Afterall, app nyingi zimetengenezwa kutumia tafiti za wizara ya ulinzi marekani. Hata VPN's
Mawee, mukulu mungu yangu.
Hiyo haiwezi shindwa jibu!!ChatGPT imejibu kama ifuatavyo;
The Tiananmen Square Massacre, also known as the June Fourth Incident, occurred on June 3-4, 1989, in Beijing, China. It was a violent crackdown by the Chinese government on pro-democracy protests, primarily led by students, intellectuals, and workers who had gathered in Tiananmen Square to demand political reforms, freedom of speech, and an end to government corruption.
The protests had been peaceful for weeks, but the government declared martial law and sent the military to clear the square. Troops and tanks opened fire on unarmed protesters, resulting in hundreds, possibly thousands, of deaths and many injuries. The exact number of casualties remains unknown, as the Chinese government has heavily censored information about the event.
The massacre is a significant and controversial moment in modern Chinese history, symbolizing the government's suppression of dissent and its intolerance of political freedoms. Images of a lone protester, famously known as "Tank Man," standing in front of a column of tanks became an enduring symbol of resistance.
bureeee kabisaNi free au ya kulipia !?
heeehNaona kajibu vizuri
Kutokana na matokeo hapo juu ya deepseek vs chatgpt, utapendelea ipi katika kufanya tafiti yako?Hii deepseek ni free mkuu.
Mchina kampiga chini ,USA na ChatGPT yake ya kulipia
Hujui historia ndio maanaNaona kajibu vizuri
Deepseek MkuuKutokana na matokeo hapo juu ya deepseek vs chatgpt, utapendelea ipi katika kufanya tafiti yako?
hata mimi siwezi yaweka Musimu yangu,..maweeeeer🙌🙌🤣🤣😂😂😂Hivyo imeshatoka?
Haya Ma AI hayana akili hivyo, yako Biased.
Siezi weka hizo vitu musimu yangu, iwe imetoka Amerika, Ulaya, ama Uchina.
Wote wanakusanya Data zako. Mbaya zaidi wale wa Amerika banatajirika kuuza Data zako.
Ni nani wakusema watu ya Intelligence ya Amerika hawafanyi kukusanya taarifa zako? Afterall, app nyingi zimetengenezwa kutumia tafiti za wizara ya ulinzi marekani. Hata VPN's
Mawee, mukulu mungu yangu.
Unaona kabisa deepseek ipo biased na bado unaichagua? Du kweli tunatofautiana.Deepseek Mkuu
Enda mu store ya gugel bonyeza kitufe inasema DATA COLLECTED mu app yeyote ile vileunataka kushusha, utaonaMfano taarifa gani mkuu?
😉hata mimi siwezi yaweka Musimu yangu,..maweeeeer🙌🙌🤣🤣😂😂😂
Kweli💯Kila kitu kinakusanya taarifa zako hata simu yako hata jf kuna taarifa wanachukua!
Hamna mtandao usiochujua taarifa yako
Wewe jamaa siyo AI la huko Congo kweli?. Uandishi wako unatupa shida kuelewa.Enda mu store ya gugel bonyeza kitufe inasema DATA COLLECTED mu app yeyote ile vileunataka kushusha, utaona
👉bana kusanya
Taarifa zingine banaeza ng'amua ni kama
- Anuani yako ya barua(e-mail)
- Telofone yako, hii banachukua munamba bakupigie.
- Foto na film, kama ulipiga mupicha kwa dansi, banajua😁
Mulekeshan. Location ya simu ect ect.
Kitu muzuri ukiomba bafute Data banafuta(sio ya mukichwa) ila banafuta.
Umeona ehh
🙏
Sina utundu huoKweli💯
Inatisha sana. Halafu wanakwambia weka mupassword🤣🤣🤣🤣🤣
Password ni kwajili ya femme asiwone una DM nani, bas2, inakupa a sense of security balakini wakitaka kung'amua banaeza. Sometimes unafanya Voluntary bila ya kutambua...kv notification
Ukieza kusoma .log files za simu yako ya android utaogofya🙌. Fanya utundu uone.
nadhan kiswahili kinamsumbuaWewe jamaa siyo AI la huko Congo kweli?. Uandishi wako unatupa shida kuelewa.
Tuko pamoja😉
🤣🤣🤣🤣
Usigope, chukua tahadhari tyu.
Tuko mumoja.
nenda ✅siyo endaEnda mu store ya gugel bonyeza kitufe inasema DATA COLLECTED mu app yeyote ile vileunataka kushusha, utaona
👉bana kusanya
Taarifa zingine banaeza ng'amua ni kama
- Anuani yako ya barua(e-mail)
- Telofone yako, hii banachukua munamba bakupigie.
- Foto na film, kama ulipiga mupicha kwa dansi, banajua😁
Mulekeshan. Location ya simu ect ect.
Kitu muzuri ukiomba bafute Data banafuta(sio ya mukichwa) ila banafuta.
Umeona ehh
🙏