Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Sanaa yaan wanahakikisha wameweka vitu sawaWatu wameshajipanga,hawakai kizembe
Hayakuwa mauaji ya kitoto,hawapendi kuyasikia!Kwa kujua kua AI ya deepseek ni ya china ! Nimeiuliza swali au historia ambayo china huwa hawaipendi.
Lengo ni kuona jinsi technologia yako inavoweza kukufadhiri au kukufichia aibu muhusika.
Conclusion:
Kweli bana ,Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
Ingekua ni app ya marekani wangepondea kama sehemu ya kuichafua nchi nyingine au kukuza uovu.
USHAURI:
Nchi zijitahidi kwenda na kasi ya dunia inasaidia sana kubrand na kupambana na vita ya habari
View attachment 3215889View attachment 3215890View attachment 3215891
Hii deepseek ni free mkuu.Ni free au ya kulipia !?
Mfano taarifa gani mkuu?Hivyo imeshatoka?
Haya Ma AI hayana akili hivyo, yako Biased.
Siezi weka hizo vitu musimu yangu, iwe imetoka Amerika, Ulaya, ama Uchina.
Wote wanakusanya Data zako. Mbaya zaidi wale wa Amerika banatajirika kuuza Data zako.
Ni nani wakusema watu ya Intelligence ya Amerika hawafanyi kukusanya taarifa zako? Afterall, app nyingi zimetengenezwa kutumia tafiti za wizara ya ulinzi marekani. Hata VPN's
Mawee, mukulu mungu yangu.
Umempiga utosini AI wa kichina wanasema hata ukiuliza kumuhusu Xi jimping longo longo kibaoKwa kujua kua AI ya deepseek ni ya china ! Nimeiuliza swali au historia ambayo china huwa hawaipendi.
Lengo ni kuona jinsi technologia yako inavoweza kukufadhiri au kukufichia aibu muhusika.
Conclusion:
Kweli bana ,Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
Ingekua ni app ya marekani wangepondea kama sehemu ya kuichafua nchi nyingine au kukuza uovu.
USHAURI:
Nchi zijitahidi kwenda na kasi ya dunia inasaidia sana kubrand na kupambana na vita ya habari
View attachment 3215889View attachment 3215890View attachment 3215891
Ndio, amekatazwa kujibuUmempiga utosini AI wa kichina wanasema hata ukiuliza kumuhusu Xi jimping longo longo kibao
Wenyewe wanasema ana CHINA PROBLEMUmempiga utosini AI wa kichina wanasema hata ukiuliza kumuhusu Xi jimping longo longo kibao
nnHiyo nimeiona X.
Sijajalibu GeminiAI nyingi hazipendi kuongelea mambo ya siasa hata Gemini
Ndio n freeHii deepseek ni free mkuu.
Mchina kampiga chini ,USA na ChatGPT yake ya kulipia