Nimeamua kumuudhi mchina kwa habari asizozipenda. Nipo na DeepSeek ya China

Kweli bana ,Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
Ingekua ni app ya marekani wangepondea kama sehemu ya kuichafua nchi nyingine au kukuza uovu.
AI nyingi hazipendi kuongelea mambo ya siasa hata Gemini
AI ambayo haina censorship katika kujibu ni Grok, ya Elon M.

Ai zingine zote huwa hazitoi baadhi majibu kwa kina, au kutokutoa kkabisa kwa maswali utakayouliza.


Code:
https://x.com/i/grok
 
Mimi nimechart nae anajua kiswahili kuliko hata waswahili wenyewe... Nilichopenda kwake kuna mwaswali ambayo Google wananifichaga yeye kaamua kufunguka yote
 
Hatuko hapa kunijadili mm. Ok

Watakuja uza zako. Ww mtu muhimu sana.[emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji6][emoji2960]
Yet, post yako main subject ni wewe. Hivyo sikuwa na budi.
Point ni taarifa zako au yoyote kutoka huku haziwafaidishi chochote significant. Kwenye movie wangesema "You're not the targeted audience."

Kama unajua unachokiongea, niambie watauza taarifa gani kukuhusu?
 
ChatGPT siku hizi mnalipia? Mwanzoni nilikuwa naenyoy nalo bure likaja kujifunga.
Hili la wachina linanijibu kiswahili fasaha utafikiri linanijua
kwene browser za computer bure ila kwene cimu unalipia
 
Yapi hayo?.
Google na ChatGPT ilikuwa nikiuliza kazi za madini ya Ruby na tanzanite yananijibu kwamba kazi yake ni mapambo.
Sasa hili la mchina likafunguka ndipo nikajua kwanini thamani ya Ruby ni kubwa kiasi cha kumshangaza binadamu yeyote
 
Hamna taarifa isyo na umuhimu sema umuhimu mdogo!!…
Kujua users opinion ina influence namna gan ya kuengage nao
 

Ile square pale Beijing inaitwa Tiananmen Square (inasomeka kama "tian an men")

Jaribu tena kuandika kama hivyo then uone kama itatoa same reaction...
 
Si ndwele Mkulu?

Ila, napenda kutofautina na ww kwamba "haziwafaidishi" chochote.
hio sio kweli..
Kwamba hatuna umuhimu wowote ule?

Kama unajua unachokiongea, niambie watauza taarifa gani kukuhusu?
Narudia tena, hatuko hapa kunijadili mm. Najua ninachokiongea.


Nakuona unapotokea na unapotaka tuende. Siendi huko. Yaani naona ww unaleta propaganda sasa.

Data zinakusanywa. Period. Iwe mm ww yule zinakusanyawa, Awe Mwafrika mzungu muhindi muarabu hata masakwe wanaopewa simu, data zao zinakusanywa na kuuzwa. In short, so long as you have smart phone, hilo haliepukiki. Git it?
 
ChatGPT iko biased kwenye jambo gani?
Weka mfano mmojawapo.
 
Ok mkuu, kama ni hizi sawa.
 
We raarifa zako zina umuhimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…