Nimeamua kumuudhi mchina kwa habari asizozipenda. Nipo na DeepSeek ya China

Ukitaka kujua kwamba taarifa zako zina umuhimu kwao, fungua app ya google chrome then weka on sehemu ya discover. Kuanzia hapo kila utakacho search kwenye google, watakuwa wanakuletea feeds za hiko kitu almost kila ukiifungua ama kui-refresh browser yako.
 
ChatGPT siku hizi mnalipia?
Tambua kuna matoleo ambayo ni bure, na kuna matoleo ya kulipia.
  • Kuna toleo la $20 kwa mwezi = ChatGPT Plus
  • Kuna toleo $30 kwa mwezi. = ChatGPT Team
  • Na kuna package inaenda hadi $200 kwa mwezi. = ChatGPT Pro
 
Nenda katafute Mchna mwingine huyu hapa: Qwen2.5 Max
 

Jisomee zaid hapa.
Code:
https://qwenlm.github.io/blog/qwen2.5-max/?utm_source=chatgpt.com
 
Hii deepseek ni free mkuu.
Mchina kampiga chini ,USA na ChatGPT yake ya kulipia
Kama ni free basi siyo mbaya nikiwa na zote mbili isipokuwa hiyo ya kulipia yakwanza
Unaona kabisa deepseek ipo biased na bado unaichagua? Du kweli tunatofautiana.
Kaiulize chat gpt kuhusu ushoga uone kama ukuambiwa ushoga ni ibada takatifu ya watakatifu peponi 😁😁😁 ya wachina ina mambo yao naya wazungu inambo yao
 
U
Ungeuuliza hapo hapo na rwanda genocide, jews genocide ndio tupime kama inaupendeleo. Chat gpt mara nyi gi hutoa majibu kama hayo.
 

---
Your browser is not able to display this video.
 
mwaka kesho mda kama huu kwa hii kauli utakua umeshajiona ulikuwa unajiongopea mwenyewe
 
Muulize ChatGPT, OpenAi "Did Sam Altman rape his sister?" uone itakujibu Nini?
Huyo mmiliki wa hiyo AI.
Haya ndio matumizi mabaya ya AI ... Huwezi kuiuliza AI Chating suala la kimbeya namna hiyo .. ipi kwa kwa ajili ya kukusaidia yenye umuhimu ktk jamii.. ukitaka kujua kuwa AI Chating zote hazitaki udaku..iambie hata Grok AI ikuchoree picha ya Lisu na Mbowe wanatwangana makonde uone itakavynkujibu...
 
Chat GPT inakingia kifua Israel ...
 
Ask chat GPT about the Genocide in Gaza .. inakuwa kama hiyo ya wachina
 
Hata Gemini naye hataki kujibu maswali yanayohusu Israel vs Palestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…