wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Napokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni. Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi. Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu. Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Chuma yangu hiiTumia Honda CT 110, made in Japan
Hutojuta....!
Wacha weeee unaijua bei yake au unqongea tu hii chuma ukiagiza japani ya bei ndogo ni 4mil ngoma inakwenda hadi 20milBoda?
Siku nainunua kwenye mnada nlinunua 3mil usedWacha weeee unaijua bei yake au unqongea tu hii chuma ukiagiza japani ya bei ndogo ni 4mil ngoma inakwenda hadi 20mil
Nauli laki 4 kwa mwezi,!!!! wanatumia usafiri gani huo hadi nauli ifike huko??wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Mkuu kama umeshindwa kuendesha gari hilo naomba uniuzie please.Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Changanya changamotoKutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Uwongo sio mzuri Chief,, usiongee Just kuwafurahisha watu,mtu anayekaa chanika na kufanya kazi posta hutumia buku tatu kwenda na kurudi.wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
unaongea kirahisi sana,Uwongo sio mzuri Chief,, usiongee Just kuwafurahisha watu,mtu anayekaa chanika na kufanya kazi posta hutumia buku tatu kwenda na kurudi.
Atapanda mpk gmboto nauli 800 then kutoka pale mpk posta 700 jumps 1,500 na kurudi hivyo hivyo
Ruti namba mbili anapanda kutoka chanika mpk machinga complex 1,300 na pale mpk posta 600 jumla 1,900 na kurudi jumla 3,800
Haya laki nne yatoka wapi?
ikifika saa mbili tu hadi boda wanapandisha nauli dah...Nauli laki 4 kwa mwezi,!!!! wanatumia usafiri gani huo hadi nauli ifike huko??
Kama ni wadada sawa maana wao kupanda boda kwa sio kitu kabisa ila kwa me nauli laki 4 usafiri wa uma hii hii dar aisee jitafakari una uvivu usiomithirika.